Unafaidika nini watu wakiliwa....acha upuuzi mzeeTulia uliwe mzee. Mpaka akili ikukae sawa![emoji23] [emoji23]
BOOOM. Nlitest mitambo kwa 5KNantes na montipelier over 0.5 odd 2.2 dakika ya 68 liver hii n pesa ya bure jaman
Kazi ipo kwa kweli.MJARIBU NA CORNEE HUYU NAE KICHEFU CHEFU MBINUKOONISM
Cleared.Hebu tuwekane sawa kidogo hapa;Sisi sote tunamuwinda kanji bai,haijalishi ni kwa njia ipi,iwe normal,gg,au double chance etc.Sasa ukiona mtu kacheza direct win na wewe ni mpenz wa magoli 1.5,2.5,3.5 etc,tusichekane wala kuvunjana mioyo! Mimi ni muumini mzuri wa kucheza over 1.5,lakini huwezi amini napigwa sanaaa tu !mfano leo nani aliamini Ac Milan ingetoa kagoli kamoja tu?lakini hapo mtu wa normal(direct win)kala,mimi wa goli mbili tumechapika mbayaa!!!So hakuna njia rahisi ya kumpiga muhindi,muache mtu achague ,tusizomeane wala kuchekana !!!"aluta kontinua"
Tatizo kuna watu wanajiona mabingwa wa kucheza magoli but wanaliwa mara kibao tu kama ingekua kucheza goals ni safe si wasingekua wanachaniwa wao ingekua ni kuwin tuHebu tuwekane sawa kidogo hapa;Sisi sote tunamuwinda kanji bai,haijalishi ni kwa njia ipi,iwe normal,gg,au double chance etc.Sasa ukiona mtu kacheza direct win na wewe ni mpenz wa magoli 1.5,2.5,3.5 etc,tusichekane wala kuvunjana mioyo! Mimi ni muumini mzuri wa kucheza over 1.5,lakini huwezi amini napigwa sanaaa tu !mfano leo nani aliamini Ac Milan ingetoa kagoli kamoja tu?lakini hapo mtu wa normal(direct win)kala,mimi wa goli mbili tumechapika mbayaa!!!So hakuna njia rahisi ya kumpiga muhindi,muache mtu achague ,tusizomeane wala kuchekana !!!"aluta kontinua"
Amka kwenye huo ujinga mzee. Huo unaoufanya ndo upuuzi halisi, upuuzi pure, na utaliwa mpaka akili ikukae sawa. Unalalamikalalamika nn na watu washaongeaga sana kuhusu directs, ukiliwa nyuti kuficha ujinga mzee.Unafaidika nini watu wakiliwa....acha upuuzi mzee
Sure. Pesa za usiku wa manane.Msilale hela zipo MLS(USA)
Kazi ipo kwakweli! [emoji23] [emoji23]Amkeni jamani SPORTING CP kafumuliwa
Hii game ni usenge mtupu timu inapewa penati tatu kama sio fixing game ni nnAmkeni jamani SPORTING CP kafumuliwa
Leganes wakimiliki mpira kwa 24% wanapata goli la kuongozaHapa goli lazima liwepo. Nahisi litafungwa na BETISView attachment 1194551
AiseeInPlay;.
Napoli
Over 0.5
Hiyo option ya zero bet ni ipi hiyo mkuu?Jamaa hawa website yao huwa ni nzito kufunguka mpaka inakera. Ila wana options nyingi na nzuri kwa kupiga pesa. Nilikuwa napiga pesa ndefu sana na ile optiion yao ya Zero bet. Nina zaidi ya mwezi kila nikijaribu kuingia mtandao haupatikana unakutana na ERROR message tu