Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nime download app ya batswall nikiingia wanadaiwa ni update lakini nikibonyeza kile kitufe cha update kinanipeleka moja kwa moja play store cha kushangaza kule play store sioni chochote kuhusu hiyo batswall msaada tafadhali
Betswall hii n kwa ajil ya kushare tips tuu
 
Loh
 

Attachments

  • IMG_20190903_181444_721.jpg
    67.1 KB · Views: 29
Hillerod vs Naedved
Danish Cup
Gem iko half time 0-0
Tip ; GG
Odds; 2.93
Good luck
 
Jamani hii ticket imewon lakn mpaka Leo hawajaingiza mpunga na match moja ya cote d voire vs China hawajaupdate. Msaada nifanyaje ?
 

Attachments

  • Screenshot_20190903-092506.png
    28.7 KB · Views: 30
Brother pole sana..haya mambo bhana ni changamoto sana kwa kweli, plan for next again.
Yah hii michezo naifahamu ni kama upatu na imefika zamu ya kanji kupokea ikifika zamu zangu nitapokea pia..Ndio maisha ya huu mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…