Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wa magoli 2+ leo kuna games nyingi za England.
Mrejesho wa game zilizopita jumamosi ni

ENGLAND NATIONAL LEAGUE Game zilikuwa 12 zilizotoa 2+ ni ZOTE

CHAMPIONSHIP game 11 zilizotoa 2+ ni 9

NATIONAL LEAGUE NORTH game 11 zilizotoa 2+ ni 8

NATIONAL LEAGUE SOUTH game 11 zilizotoa 2+ ni 9

Sasa mabaharia tunakwama wapi hata tukichukua game moja moja au hata mbili mbili katika league hizo, kuna kitu kinaweza tokea

Mkuu hapa nahitaji odds 10 Tu
 
Thanks for analysis, Chief.
 
21:30
Blackpool [3]
Morecambe [20]
O 2.5 / GG

21:45
Guiseley [5]
York City [1]
GG / 2

21:45
Exeter City [1]
Cheltenham Town [11]
1

21:45
Kings Lynn [2]
Alfreton Town [4]
1

21:45
Welling United [12]
Eastbourne Borough [16]
1

21:45
Woking [1]
Torquay United [10]
1 / O 2.5

Angalia patakokufaa
 
IMG_20190903_110403_877.jpg
 
Mkuu nawewe unatumia hiyo card ya ABC au bitcoin? Na kiwango unachoruhusiwa ku-withdraw toka 1x account je!
mi niliwapozea kitambo baada ya kuanza usumbufu wa kutoa mpunga. nilitumiaga bitcoin
 
Kati hizo mbili unazochukua moja wapo wanatoka 0:0 au 1:0 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wazee wa magoli 2+ leo kuna games nyingi za England.
Mrejesho wa game zilizopita jumamosi ni

ENGLAND NATIONAL LEAGUE Game zilikuwa 12 zilizotoa 2+ ni ZOTE

CHAMPIONSHIP game 11 zilizotoa 2+ ni 9

NATIONAL LEAGUE NORTH game 11 zilizotoa 2+ ni 8

NATIONAL LEAGUE SOUTH game 11 zilizotoa 2+ ni 9

Sasa mabaharia tunakwama wapi hata tukichukua game moja moja au hata mbili mbili katika league hizo, kuna kitu kinaweza tokea
 
MKEKA TIPS
Hii ni website na Android app niliyoitengeneza kwa dhumuni la kutoa betting tips for free, ni BURE na daima itakuwa hivyo. Nilii-publish juzi rasmi na kuanza kufanya kazi huku ikiwa inajulikana na watu wachache tu kupitia matangazo niliyo-share kupitia groups mbalimbali. Najua kila mtu humu anajua kubet vizuri sana ila kupitia App hii itakupa muongozo tu wa masoko yapi mazuri kubetia kwa siku husika na mechi zake. Mpaka sasa WINNING RATE ni 100% ikiwa sijapoteza mkeka wowote ktk mikeka miwili niliyoweka. Nakukaribisha uweze kutoa support yako. Website na App hii vyote havina matangazo na hii ndio maana ya bure.

Website: bit.ly/MkekaTips

Android App: http://bit.ly/MkekaTipsApp

Toa maoni yako kwa maboresho yoyote ktk website pamoja na App.View attachment 1196296View attachment 1196297
Ipo Playstore ama?
 
Basketball yenyewe ina match fixing nn?
Germany kushinda alikua na odd ya 1 vs Dominican republic mwenye 17 appr.
Mech imeleta presha hii, Dominican gud for over 69.5
 
Back
Top Bottom