Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_2304.JPG
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inplay Tips
Atletico WIN
 
Wakuu Mbona hamnijibu kuhusu hizi options nilizoomba mnisaidie.
Wakuu Habari?
Naomba mnisaidie,
Kwa wale wanaotumia meridianbet,au kwingineko,
Kuna Option's zinanitatiza hapa nazo ni:

1. 1-1&2+
2. x-1&2+
3. Double win yaani unakuta kuna
HW2 na AW2.
Naomba mnisaidie tafadhali.
 
Valeranga na Rosenberg odd zimefika 2.4 over 0.5 first half iwahini jaman
 
Hiyo1-1&2+ nahisi ashinde wa nyumbani halafu goli zake zianzie mbili yaani 2-1,3-1
Hiyo x-1&2+ nahisi ni mechi iishe draw ambapo wa nyumbani aanzie goli mbili mfano 2-2,3-3
Hapana!!! 1-1&2+ maana yake wa nyumbani aongoze kipindi cha kwanza na ashinde mwisho wa siku na yapatikane magoli 2 na kuendelea hizi option ndo zile zinaitwa halftime/full time and 2+ hapa ikitokea halftime wametoka draw mkeka unakuwa umechanika huo.

X-1 & 2+ maana yake kipindi cha kwanza matokeo yawe draw lakini second half inabidi huyo wa nyumbani ashinde na matokeo ya magoli yawe kuanzia 2 nakuendelea so hapa mfano half time wakitoka 0:0 halafu second half matokeo yakawa 1:0 mkeka unakuwa umechanika maana yaahitajika ushindi lakini kuwe na magoli 2 na kuendelea!! Ovrrr
 
Komaa nao siku za kazi Mon-Friday kupitia kwenye namba yao iliyopo kwenye app yao chini,navyosema komaa namaanisha,utapata tu haki yako,hata mimi iliwahi nitokea...
Wakuu inakuwaje Premierbet Ukitoa pesa Wanakataa unakuja ujumbe wa NOT ALLOWED DUE TO PLAYER BLOCK mbona kuingiza iliingia kwa haraka?
msaada please
 
Back
Top Bottom