Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu anaetumia pigabet naomba kujua ukiwithdraw wanachukua muda gani kukuingizia hela yako
 
Wakuu sisi kama jukwaa la wapambanaji tunapaswa kuwa kitu ki1 sioni kabisa mantiki ya kuchekana wala kuzodoana humu.
Tuache kila mtu amini anachokiamini sisi jukumu ni kushauriana tu lakini siyo na wala hatuwezi lazimisha mtu acheze options fulani. Hiyo itabaki kwa mtu mmoja moja yeye na pesa yake huko
Let's leave these shits away and be together no matter how different we are [emoji123][emoji123][emoji123]

Together for SOLIDARITY against One Enemy [emoji654] Kanjibai [emoji119][emoji119][emoji119][emoji120][emoji120][emoji120]

Mkuu unachosema wewe ni sawa sawa na Watu wanavamia Lori wanachota Mafuta Then sisi Sisi tunawaambia jamani Mafuta ni hatari yakilipuka Hayo Bora mfanye kazi zingine kujipatia kipato! Halafu wewe unakuja unasema jamani sisi wote ni Watanzania Chamsingi Tumuache kila mtu ajitafutie ridhiki yake Kwa njia anayoona inafaa! Sasa hapo kati yako wewe na sisi wapinga Direct unahisi nani ana nia njema? Nia sio kuwacheka! Kama kuliwa kila mtu analiwa hata Over 0.5 inachana! Lakini Kuliwa kwa Direct Win ni Uzembe wa kiwango Cha lami
 
Uwe unashare hizo tips za over mkuu kuliko kuleta porojo
 
Mkuu hata wao huwa wanapigwa sana tu mara kibao wanatukana timu humu tunaona basi tu kujitia ujuaji utasema stake wanakuwekea wao
Nawajua sana hao wajuaji wanaojifanya wanampiga kanji kwa over, wanachoshindwa kuelewa ni kwamba hakuna option ambazo hatujawahi kucheza lakini mwisho wa siku betting itabaki kuwa betting not otherwise. humu tunapeana tips tu na kukumbushana baadhi ya vitu kuhusiana na huu mchezo kwa ujumla hakuna haja ya kumuona mwezako ni loser
 
Ndo tunakumbushana Sasa Direct win Haifai! Lakini kama unaona inafaa Endelea Stake ni yako, Mkeka ni wako! Kuliwa wote tunaliwa Sana tu sio kidogo ila Direct win nadhani imezidi kuchana Mikeka ya watu! Halafu mbona Hamleti hoja kuitetea Direct win kama mnahisi inafaa leteni hoja pengine mtaturekebisha tunaoiona haifai maana si umesema tunarekebishana? Nipe Faida za Direct win zinazoweza kunishawishi
 
Wakuu itabidi Mtuvumilie tuu maana Hakunaga Operation isiyokuwa na Maumivu ila mkishapona Mtayaona Matunda yake
 
Pesa hii TUKUTANE baadaye.
Screenshot_20190901-182045~2.jpeg
 
Ndo tunakumbushana Sasa Direct win Haifai! Lakini kama unaona inafaa Endelea Stake ni yako, Mkeka ni wako! Kuliwa wote tunaliwa Sana tu sio kidogo ila Direct win nadhani imezidi kuchana Mikeka ya watu! Halafu mbona Hamleti hoja kuitetea Direct win kama mnahisi inafaa leteni hoja pengine mtaturekebisha tunaoiona haifai maana si umesema tunarekebishana? Nipe Faida za Direct win zinazoweza kunishawishi
Kula matunda ya direct win
Screenshot_2019-09-01-18-54-21.jpeg
 
Back
Top Bottom