Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu itabidi Mtuvumilie tuu maana Hakunaga Operation isiyokuwa na Maumivu ila mkishapona Mtayaona Matunda yake
Sasa hivi Copenhagen kanichania niliweka over 1.5, sasa si kila mtu anaweza kuweka timu 20 kwa tu odd twa over 0.5 ili upate at least odd 2, na haimaanishi huwa hatuweki mikeka ya magoli ni vile mnajikuta wajanja sana kukosoa watu na option wanazoona wao inawafaa wakati hata hiyo mikeka mnayowekaga watu wanafata na inachanika sana tu hadi wengine wanakimbia jukwaa
 
Nilijua tu ukiwepo mjomba Xhaka lazima ugawe tako daaah arsenal tunapigwa kipigo cha mbwa koko
Uko
 
Sasa hivi Copenhagen kanichania niliweka over 1.5, sasa si kila mtu anaweza kuweka timu 20 kwa tu odd twa over 0.5 ili upate at least odd 2, na haimaanishi huwa hatuweki mikeka ya magoli ni vile mnajikuta wajanja sana kukosoa watu na option wanazoona wao inawafaa wakati hata hiyo mikeka mnayowekaga watu wanafata na inachanika sana tu hadi wengine wanakimbia jukwaa

Kuliwa ni Lazima ni kama Kifo hakikwepeki ila vilio vya Direct win vingi kuliko vya Over! Nafunga Mjadala ili tufanye kazi Tushushe Tips Maisha yaendelee
 
Mkuu unachosema wewe ni sawa sawa na Watu wanavamia Lori wanachota Mafuta Then sisi Sisi tunawaambia jamani Mafuta ni hatari yakilipuka Hayo Bora mfanye kazi zingine kujipatia kipato! Halafu wewe unakuja unasema jamani sisi wote ni Watanzania Chamsingi Tumuache kila mtu ajitafutie ridhiki yake Kwa njia anayoona inafaa! Sasa hapo kati yako wewe na sisi wapinga Direct unahisi nani ana nia njema? Nia sio kuwacheka! Kama kuliwa kila mtu analiwa hata Over 0.5 inachana! Lakini Kuliwa kwa Direct Win ni Uzembe wa kiwango Cha lami
Mkuu kumbuka hii ni betting hakuna sure options. Kama unaelewa hivyo basi acha kila mtu achape kivyake.

Hizi porojo zikizidi inakuwa haina msingi. Acha kila Mtu asimamie msimamo wake
 
Aisee
Screenshot_20190901-202734~2.jpeg
 
Leo ...

Football
-----------
Reims vs Lille - X2 & Under 4.5 (1.49)
Espanyol vs Granada CF - 1X & Under 3.5 (1.62)
Holstein Kiel vs Erzgebirge Aue - 1/2 & Over 1.5 (1.47)
-----------------
Total Odds 3.55
LOST

weekend ngumu
 
Back
Top Bottom