Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Guys msaada pls nafanya registration ktk app ya mbet kila user name nnayochagua naambiwa already used nifanyaje???
 
MKEKA TIPS
Hii ni website na Android app niliyoitengeneza kwa dhumuni la kutoa betting tips for free, ni BURE na daima itakuwa hivyo. Nilii-publish juzi rasmi na kuanza kufanya kazi huku ikiwa inajulikana na watu wachache tu kupitia matangazo niliyo-share kupitia groups mbalimbali. Najua kila mtu humu anajua kubet vizuri sana ila kupitia App hii itakupa muongozo tu wa masoko yapi mazuri kubetia kwa siku husika na mechi zake. Mpaka sasa WINNING RATE ni 100% ikiwa sijapoteza mkeka wowote ktk mikeka miwili niliyoweka. Nakukaribisha uweze kutoa support yako. Website na App hii vyote havina matangazo na hii ndio maana ya bure.

Website: bit.ly/MkekaTips

Android App: http://bit.ly/MkekaTipsApp

Toa maoni yako kwa maboresho yoyote ktk website pamoja na App.
20190903_054002.jpeg
20190903_053230.jpeg
 
Guys msaada pls nafanya registration ktk app ya mbet kila user name nnayochagua naambiwa already used nifanyaje???
Chagua username unique, username inatumika mara moja tu kwa kila account. Hapo tumia username yako mf: jina alaf ongezea na namba; mwaka wa kuzaliwa. Kwa mfano: gspanner1995
 
1xbet wameanza live streaming unabet live huku unaangalia game humohumo
IMG_20190903_065816_825.jpeg
 
Wazee wa magoli 2+ leo kuna games nyingi za England.
Mrejesho wa game zilizopita jumamosi ni

ENGLAND NATIONAL LEAGUE Game zilikuwa 12 zilizotoa 2+ ni ZOTE

CHAMPIONSHIP game 11 zilizotoa 2+ ni 9

NATIONAL LEAGUE NORTH game 11 zilizotoa 2+ ni 8

NATIONAL LEAGUE SOUTH game 11 zilizotoa 2+ ni 9

Sasa mabaharia tunakwama wapi hata tukichukua game moja moja au hata mbili mbili katika league hizo, kuna kitu kinaweza tokea
 
Asante sana
 
Wanaweka kuanzia mechi 4 unapata 10% mechi 6 kama sikosei 15% then mechi 11 unapata 25% chini ya mechi nne wanakata kodi, niliwaandikia email jana wakanijibu hivyo kuwa ndo utaratibu mpya
Maybe ngoja tuone sasa,maana Mimi nilikuwa Nafurahi kuziona tu bonus after win.
 
Chagua username unique, username inatumika mara moja tu kwa kila account. Hapo tumia username yako mf: jina alaf ongezea na namba; mwaka wa kuzaliwa. Kwa mfano: gspanner1995
Tnx imenisadia na nimefanikiwa baada ya kuchanganya jina na no
 
Wazee wa magoli 2+ leo kuna games nyingi za England.
Mrejesho wa game zilizopita jumamosi ni

ENGLAND NATIONAL LEAGUE Game zilikuwa 12 zilizotoa 2+ ni ZOTE

CHAMPIONSHIP game 11 zilizotoa 2+ ni 9

NATIONAL LEAGUE NORTH game 11 zilizotoa 2+ ni 8

NATIONAL LEAGUE SOUTH game 11 zilizotoa 2+ ni 9

Sasa mabaharia tunakwama wapi hata tukichukua game moja moja au hata mbili mbili katika league hizo, kuna kitu kinaweza tokea
Xhanks mkuu ngoja tulifanyie kazi hili
 
wakuu mnaotumia betswall hii inamaanisha nini?
 
Attachments

  • IMG_20190903_083041.jpg
    IMG_20190903_083041.jpg
    38.9 KB · Views: 36
Back
Top Bottom