Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale wa kujivika mabomu, Bomu hilo.
Screenshot_20190902-184619~2.jpeg
 
Haikubali..nimefungua accnt mpya na email mpy still inasema incorrect log in na pia app haifunguk
App yao ina kua nzito sana sijui kwann lakin naweza kulog vzur tu

Tumia chrome ikibidi Reset tu password next time ukifanikisha kulog kwa chrome iruhusu KuRemember password ili uwe una log directly tu
 
Wekeni odds za kesho,Leo nafsi haijanituma kifungua duka kabisa kutokana na faida nzuri Sana niliyo ipata japo jana Atletico alitaka kunitoa roho Mana nilimpa direct win mola akasimama upande wangu
 
Meridianbet user's,
Wakuu vipi Mbona meridianbet kwasasa Hawaweki bonus money kwenye eneo la bonus?
Au ni kwangu tu?
Maana tangu Jana mikeka yote niliyo WIN sijapata bonus,wakati juzi nilipata tarehe 31.
 
Hata kwangu..ila ninangangana zaidi na green kuliko hiyo bonus
 
Back
Top Bottom