Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bomu LA kesho nawatakia mafanikio mema!!!
IMG_20190902_212338_341.jpeg
 
hili jaamaa ni jinga sijawahi ona..likiwa kwenye group linataka mlione kua lenyewe ndo kipanga na lina control kila kitu...wew ilo group waunge uliosoma nao mtaelewana..linatoa watu kijinga jinga
Nimewatumia email jana walichonijibu ni hiki

"Ile ilikuwa kwa ajili ya kodi, kwa sasa utaratibu umebadilika, wateja waliobeti mechi kuanzia 11 ndiyo watalipwa 25% ya kufidia kodi, mechi 6 watalipwa 15% na mechi 4 watalipwa 10%."
 
Wajinga wanachukua kodi yao ya serikali
Meridianbet user's,
Wakuu vipi Mbona meridianbet kwasasa Hawaweki bonus money kwenye eneo la bonus?
Au ni kwangu tu?
Maana tangu Jana mikeka yote niliyo WIN sijapata bonus,wakati juzi nilipata tarehe 31.
 
Wanaweka kuanzia mechi 4 unapata 10% mechi 6 kama sikosei 15% then mechi 11 unapata 25% chini ya mechi nne wanakata kodi, niliwaandikia email jana wakanijibu hivyo kuwa ndo utaratibu mpya
 
Back
Top Bottom