The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Na kweli.Yah hii michezo naifahamu ni kama upatu na imefika zamu ya kanji kupokea ikifika zamu zangu nitapokea pia..Ndio maisha ya huu mchezo
Na kweli.Yah hii michezo naifahamu ni kama upatu na imefika zamu ya kanji kupokea ikifika zamu zangu nitapokea pia..Ndio maisha ya huu mchezo
Nashukuru kwa kuliona hilo! Nilitaka pia nihoji..Hiz VIP zako ni kama zina utofauti hiv..
VIP ya kwanza Montenegro Win na hiyo mechi alipigwa.
VIP ya pili sijui ina kautambulisho fln ndy New zealand kashinda.
Hao waliolipia hizo VIP watapata mkanganyiko sana..Hii inaonyesha na wao pia ni Uncertain.
Nipatie namba yao bossEm wapigie kwa ile namba yao ili waongeze salio hapo fasta.
Duka gani unatumiaNipatie namba yao boss
PsrimatchDuka gani unatumia
We naona hutaki hela iongezeke..namba zao ziko pale pale kweny web yaoNipatie namba yao boss
Kazi nzuri uwe unitagi ukiweka tena
K![]()
BetsWall Betting Predictions - Apps on Google Play
Sports predictions, betting tips, football tips, NBA picks & live scoresplay.google.com
Wewe ndio muongo uo mkeka una match zaid ya 15 sema kapiga picha nusuUONGO HUU HIZO ODD HATA MBILI HAZIFIK ALAFU MNASEMA ODD 50 UKICHEK PICHA VIZUR UTAONA NAMNA WALIVYO EDIT CHUKUA IYO PICHA ZOOM UTAONA WALIVYO JICHANGANYA KUTUDANGANYA. SISI SIO WATTO WADOGO
Kaipatia huko huko kwa muhindiInawezekana mkuu hana uchungu nazo
Fast betHaya wale wa kuweka mamilioni kazi kwenu. Tujutane kwenye mafao baadaye.View attachment 1193715
Subiri wajuvi wa ilo duka,kwani awana hata email uwape tarifaPsrimatch
We ni wivu unakusumbua...weka hapa na wewe hizo fast bet zako tuzione.. Af kama vile hujaulizwa ni fast bet au nini.. Mshoboko tuu.Fast bet