Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kampuni hata iwe nzuri vp ikishakuwa na kodi bora nikabet kwa Vadmir Putin tu.
Yaani nasugua kichwa kubet kama profesa wa fizikia halafu naliwa, siku nikibahatisha kupata 400,000 eti 80,000 ya serikali. Wamechangia stake au mawazo kwenye mkeka wangu!
Kama serikali inaona tunafaidi ianze na yenyewe kubeti, tena iwe na waziri wa mikeka kabisa.
Sipati picha serikali imebeti Yanga dhidi ya Ruvu over 1.5, mara pap YANGA 0-1 RUVU.
Siku ya pili lazima kocha wa yanga apangiwe majukumu mengine. Ila hatuwezi kujua, pengine serikali inabeti kimya kimya, wakiwapa direct win halafu mharibu, hasira zote kwa kocha ili kufidia stake.
 
hahahahaaaaa Wizara ya kubet
 
Wazee game za Japan over 1.5 inatoa au pasua kichwa? Na je game gani zingine zinatoa over 1.5?
 
Wakuu hivi hizi Odds za Taifa staz vipi?
Screenshot_2019-09-04-10-58-50.jpeg
 
Mkuu hizi kazi zetu acha tunataabika sana yaani uumize kichwa siku hy umpige muhindi then ukatwe tna kodi dah inaumiza sana asee
Yàan serikali ilibid iwe ya kwanza kutupigia maombi tuwin ili wapate kodi yao, ila tatizo lao wavivu kwenye maombi wao wamekaa wanasubir tu tuwin ndo maana lose zinakuwa nying kuliko win. NATANIA TU ila kweli
 
JAPAN

Urawa Red Diamonds v Kashima Antlers, Totals 1.5: o - 1.24

Kawasaki Frontale v Nagoya Grampus, Totals 1.5: o - 1.18

Hokkaido Consadole Sapporo v Sanfrecce Hiroshima, Totals 1.5: o - 1.22

Gamba Osaka v FC Tokyo, Totals 1.5: o - 1.3

Total odds
2 odds
 
Yàan serikali ilibid iwe ya kwanza kutupigia maombi tuwin ili wapate kodi yao, ila tatizo lao wavivu kwenye maombi wao wamekaa wanasubir tu tuwin ndo maana lose zinakuwa nying kuliko win. NATANIA TU ila kweli
Kwanz me naona serikali wanafanya dhulma sana Upande wa betting sema tu hakuna wanaolalamika.
Hivi inakuwaje mfn me na loose mkeka ina mana bookmarker ye analipa kodi kwa kila mikeka ambayo nimelost, jibu hapo obvious ni hapana.... Sasa iweje mimi kila nikiwin nikatwe tena kodi hapo?
Hii haiko sawa kabisa ndio maana hata haya makampuni mengine huamua tu kutulipia hizi kodi kwa kutuonea huruma [emoji23]....
 
Back
Top Bottom