FIBA kashiba kweli maana sio kwa vipoint hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23]Upepo wa Basketball leo si mzuri. Bora wangeekaga option ya GG
Hapa unacheza direct wins au unatokaje mkuuGame zangu tano izi hapaView attachment 1197555
Wakati tunaelekea mwishoni mwishoni mwa US Open ... hizi odds 3 hautataka zikupite ...
View attachment 1197610
Agiza kinywaji hapo ulipo nitalipa mimiKampuni hata iwe nzuri vp ikishakuwa na kodi bora nikabet kwa Vadmir Putin tu.
Yaani nasugua kichwa kubet kama profesa wa fizikia halafu naliwa, siku nikibahatisha kupata 400,000 eti 80,000 ya serikali. Wamechangia stake au mawazo kwenye mkeka wangu!
Kama serikali inaona tunafaidi ianze na yenyewe kubeti, tena iwe na waziri wa mikeka kabisa.
Sipati picha serikali imebeti Yanga dhidi ya Ruvu over 1.5, mara pap YANGA 0-1 RUVU.
Siku ya pili lazima kocha wa yanga apangiwe majukumu mengine. Ila hatuwezi kujua, pengine serikali inabeti kimya kimya, wakiwapa direct win halafu mharibu, hasira zote kwa kocha ili kufidia stake.
Ukiona PARIMATCH Mkeka Unakaukijani Kwa Mbali Ujue Sherehe Hapo[emoji23]FIBA ilibaki chupu chupu niliwe kichwa ... bora Angola/Philippines walivoenda OT.
View attachment 1197606
Hapa unacheza direct wins au unatokaje mkuu
Hapa unacheza direct wins au unatokaje mkuu
Wakuu hivi hizi Odds za Taifa staz vipi? View attachment 1197510