Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwenye FIBA nimewakubali New Zealand na Australia kwa kutoa Overs wako vizuri
 
Mshindi kati ya Elina Svitolina na Serena Williams ndie atakae kuwa bingwa wa US Open kwa upande wa wanawake. Mechi itakuwa ngumu sana kama ni mpenzi wa tennis basi usikubali kupitwa na mtanange huu, mi nampa nafasi kubwa Serena Williams kutinga fainali.

Naam Gael Monflis pamoja na Elina Svitolina ni wapenzi tena wana mda tu. Katika moja ya mahojiano na mwandishi wa habari Elina Svitolina alidai lengo lao ni kuingia kwa pamoja katika nusu fainali ya michuano hiyo. Bahati mbaya ameingia yeye peke yake huku Monflis akitolewa kwenye hatua ya robo fainali.

Katika vijana wanao kuja kwa kasi sana katika mchezo wa tennis basi Medvedev anatisha, Mrusi huyu naweza sema ni moto wa kuotea mbali. Kama atafanikiwa kutinga fainali basi hiyo itakuwa ni fainali yake ya nne mfululizo anaingia kutokana na mashindano aliyo cheza hapo nyuma. Dimitrov simpi ushindi mbele ya Medvedev ushindi wake atapata kushinda set moja tu tena kwa shida sana, zile odd amepewa Medvedev ni za bure kabisa, over 3.5 sets itapendeza Sana.

Bigwa mtarajiwa wa US Open 2019 hapa namzungumzia Rafael Nadal ama wengine wanavyomwita king of clay hato kubali afungwe ata set moja. Under 3.5 sets kama unaweza kujilipua.
Ni kweli, hiyo game naiona kila mmoja akishinda walau sets 1 ... Elina Svitolina yuko vzr sn. Namkubali. Sitashangaa akimtoa mkongwe Selena Williams.

Sikuwa najua km ni demu wake Gael Monfils. Wakubwa wanafaidi.

Game ya Belinda Bencic & Bianca nayo itakuwa na ushindani sn. Hii nayo ni ya kuwapa Over 2.5 sets

Medvedev, nadhani atashinda dhidi ya Dimitrov

Berrettini anaweza ashinda set moja, kwa Nadal.
 
Mshindi kati ya Elina Svitolina na Serena Williams ndie atakae kuwa bingwa wa US Open kwa upande wa wanawake. Mechi itakuwa ngumu sana kama ni mpenzi wa tennis basi usikubali kupitwa na mtanange huu, mi nampa nafasi kubwa Serena Williams kutinga fainali.

Naam Gael Monflis pamoja na Elina Svitolina ni wapenzi tena wana mda tu. Katika moja ya mahojiano na mwandishi wa habari Elina Svitolina alidai lengo lao ni kuingia kwa pamoja katika nusu fainali ya michuano hiyo. Bahati mbaya ameingia yeye peke yake huku Monflis akitolewa kwenye hatua ya robo fainali.

Katika vijana wanao kuja kwa kasi sana katika mchezo wa tennis basi Medvedev anatisha, Mrusi huyu naweza sema ni moto wa kuotea mbali. Kama atafanikiwa kutinga fainali basi hiyo itakuwa ni fainali yake ya nne mfululizo anaingia kutokana na mashindano aliyo cheza hapo nyuma. Dimitrov simpi ushindi mbele ya Medvedev ushindi wake atapata kushinda set moja tu tena kwa shida sana, zile odd amepewa Medvedev ni za bure kabisa, over 3.5 sets itapendeza Sana.

Bigwa mtarajiwa wa US Open 2019 hapa namzungumzia Rafael Nadal ama wengine wanavyomwita king of clay hato kubali afungwe ata set moja. Under 3.5 sets kama unaweza kujilipua.

Nakubaliana na wewe, mshindi kati ya Svitolina & Selena atakuwa mshindi kwa upande wa wanawake #USOpen. Awali nilimpa nafasi Naomi Osaka (wanawake) na Novak Djokovic (wanaume) ... lkn tofauti na nilivotegemea wametolewa mapema.
Finale upande wa wanaume yaweza kuwakutanisha Medvedev vs Nadal. Itakuwa game tamu sn.

Usiku wa kuamkia kesho nitajilipua km ifuatavyo

US Open:
------------
E. Svitolina vs S. Williams - Over 20.5 games (1.82)
B. Bencic vs Andreescu B.V - Over 22.5 games (2.04)
-----------
Total Odds 3.71
 
Ilianza kama safari, twende furani ukaone.Mwisho wake huwez kulala hata bila kufukuzana na kanji.Mmh.
 
Watu wana balaa.Hii ni hatari , tuseme hapo umetupia sh.5000/=Aiseee
Screenshot_20190905-183014~2.jpeg
 
🏆🏆🏆
Z56ZVCCB
Norway - Malta
Over 2.5 1.35

Qatar - Afghanistan
Over 2.5 1.25

Wolfsburg - Hamburg
Over 2.5 1.36
ODD:2.32
₦ 50000.00
©🥇🥇🥇
 
Back
Top Bottom