Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndo naanza safari Hivo...
Chambua zinazokufaa..
Screenshot_20190905-005424~2.jpg
 
jamani anayejua jinsi ya kudeposit premierbet mi inanichanganya tu!!
 
Huyo demu anaitwa Elina Svitolina yuko poa sana ana kipaji cha hali ya juu. Binafsi namkubali ile mbaya ni mwanadada bora kabisa katika kusave ana nguvu sana. Game yake na Selena Williams katika nusu fainali itakuwa yakuvutia sana, atatoa changamoto kwa Selena nakushauri game hiyo cheza over. Kwa kuongeza huyo Elina Svitolina ni demu wake Gael Monflis jamaa alie tolewa jana na Berettini katika robo fainali. Natamani sana hapa Tanzania huu mchezo ungepewa nguvu kama wenzetu naimani leo hii ata mimi ningekuwa mchezaji mkubwa wa tennis ni mchezo ninao upenda zaidi nina kipaji cha kucheza tennis.
 
Hongera mkuu
 
Wakuu kampuni gani hawakati kodi maana meridian naona nao wameanza kukata kodi.

Napenda kama ni odd 2.10 nikistake 10000 nile 20000.

Sipendi kukatwa kodi
 
Back
Top Bottom