Hao nimewahama. Wanajua kabisa waweka stake kubwa ni watu wenye heshima yao. Hivyo hawataki watu wawaze kushinda kikubwaSiku ukiwaotea betpawa parefu hii biashara ya kuanikana kwa vyombo vya habari wengine itatupa shida sana View attachment 1198173
Abc au nbc kiongoziPitia coments nyuma nyuma huko watu wameelezea vizuri jinsi ya kudeposit. Ila njia rahisi ni ya kutumia visa card hasa ukiwa na visa card ya bank abc
Hii ni kampuni gani broTukutane baadayeView attachment 1198686
Hiyo ni betswall app ni kwaajili ya predictions tu.Hii ni kampuni gani bro
Hajakosea mkuu alivyokuambia.Abc au nbc kiongozi
Exim haikubali?Hajakosea mkuu alivyokuambia.
InakubaliExim haikubali?
Unaambiwa bancABC wewe unasema NBC! nenda benki takwa kanunue kadi 15,000Abc au nbc kiongozi
Ni kweli, hiyo game naiona kila mmoja akishinda walau sets 1 ... Elina Svitolina yuko vzr sn. Namkubali. Sitashangaa akimtoa mkongwe Selena Williams.
Sikuwa najua km ni demu wake Gael Monfils. Wakubwa wanafaidi.
Game ya Belinda Bencic & Bianca nayo itakuwa na ushindani sn. Hii nayo ni ya kuwapa Over 2.5 sets
Medvedev, nadhani atashinda dhidi ya Dimitrov
Berrettini anaweza ashinda set moja, kwa Nadal.
Hii si wao tu, betting company nyingi zina hiyo kitu. Sema wengi wetu huwa hatusomi terms n condition.Siku ukiwaotea betpawa parefu hii biashara ya kuanikana kwa vyombo vya habari wengine itatupa shida sana View attachment 1198173
Au aende exim watampa tuUnaambiwa bancABC wewe unasema NBC! nenda benki takwa kanunue kadi 15,000
Mshindi kati ya Elina Svitolina na Serena Williams ndie atakae kuwa bingwa wa US Open kwa upande wa wanawake. Mechi itakuwa ngumu sana kama ni mpenzi wa tennis basi usikubali kupitwa na mtanange huu, mi nampa nafasi kubwa Serena Williams kutinga fainali.
Naam Gael Monflis pamoja na Elina Svitolina ni wapenzi tena wana mda tu. Katika moja ya mahojiano na mwandishi wa habari Elina Svitolina alidai lengo lao ni kuingia kwa pamoja katika nusu fainali ya michuano hiyo. Bahati mbaya ameingia yeye peke yake huku Monflis akitolewa kwenye hatua ya robo fainali.
Katika vijana wanao kuja kwa kasi sana katika mchezo wa tennis basi Medvedev anatisha, Mrusi huyu naweza sema ni moto wa kuotea mbali. Kama atafanikiwa kutinga fainali basi hiyo itakuwa ni fainali yake ya nne mfululizo anaingia kutokana na mashindano aliyo cheza hapo nyuma. Dimitrov simpi ushindi mbele ya Medvedev ushindi wake atapata kushinda set moja tu tena kwa shida sana, zile odd amepewa Medvedev ni za bure kabisa, over 3.5 sets itapendeza Sana.
Bigwa mtarajiwa wa US Open 2019 hapa namzungumzia Rafael Nadal ama wengine wanavyomwita king of clay hato kubali afungwe ata set moja. Under 3.5 sets kama unaweza kujilipua.
Hahahahahahahahahaa!!!!!!!Ilianza kama safari, twende furani ukaone.Mwisho wake huwez kulala hata bila kufukuzana na kanji.Mmh.
Abc au nbc kiongozi
Hii si wao tu, betting company nyingi zina hiyo kitu. Sema wengi wetu huwa hatusomi terms n condition.