Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwenye lain ya safaricom aliepo Mwanza naomba aniuzie kama bado inafanya kazi 1x bet
 
Hawa parimatch vp wamegoma kuweka FIBA basketball mpaka sasa
 
Kuna kipindi niliweka laki timu 2 nikapigwa bila kuamini macho yangu, timu moja yenye odds 1.15 ikiwa nyumbani ilitoa sare ya 0-0. Ilikuwa Malmo fc v timu gani sijui.
Yaani siku hizi nikioona malmo fc huwa napita kama siioni, lakini nikifatilia matokeo yake naona mara nyingi imeshinda.
 
Wadau nauliza, bet ya WIN TO NIL.. Najua Ukichagua YES lazima ishinde halafu isiruhusu goli. Je Hivi ukiipa timu NO (Kwenye win to nil) lazima iruhusu goli na mpinzani wake ashinde..au mradi tu iruhusu goli?
 
Wadau nauliza, bet ya WIN TO NIL.. Najua Ukichagua YES lazima ishinde halafu isiruhusu goli. Je Hivi ukiipa timu NO (Kwenye win to nil) lazima iruhusu goli na mpinzani wake ashinde..au mradi tu iruhusu goli?
Hapo inakuwa iruhusu goli na ishinde
 
Tupen mrejesho, mzigo ulitoa nasi tuhamasike wakati mwingine!
 
England
Queens Park Rangers v Sheffield Wednesday
Totals 2.5: o - 1.37

England
Millwall v Sheffield United
Totals 2.5: o - 1.40

China women
Shanghai Guotai Junan v Henan Huishang
Totals 2.5: o - 1.26

China women
Changchun Dazhong Zhiye v Jiangsu Suning FC
Multigoals Awayteam: 1-3 - 1.31

China women
Wuhan Jiangda v Dalian Quanjian FC
Multigoals Hometeam: 1-3 - 1.31

Uganda
Uganda Revenue Authority FC v Kyetume FC
Select 1 - 1.31


Russia
Ararat Moscow v FC Khimki-M
Multigoals Hometeam: 1-3 - 1.31

Total odds
7.11 odds
 
Wakabet imekupa bonasi (TZS 500) kwa tiketi yako ya kwanza (1666215) unatakiwa kutumia bonasi hii "2019-09-05 21:45:00" mpaka "2019-09-12 21:45:00"
 
Mnaotumia parimatch kama umetoa mzigo unasoma tu pending siku nzima unafanyaje wakuu!
 
Mnaotumia parimatch kama umetoa mzigo unasoma tu pending siku nzima unafanyaje wakuu!
Kuna sehem ya kuchat kwe page yao waandikie msg wanajibu faster au wacheki watsapp namba 0759800778
 


Svitolina didn't live to the expectation ... amepigwa sets 3-6, 1-6 .. na hivyo kufanya total games 16 (under 20.5)



Belinda vs Andreescu nilitegemea itakuwa game tight, na kweli japo Belinda amepoteza bila kushinda hata set moja. Ila alimpa presha Andreescu. Set ya kwanza 6-7, ya pili 5-7 na kufanya total games 25 (over 22.5)



BET LOST !

Tusubiri leo Daniil Medvedev vs Grigor Dimitrov ... karata yangu ushindi kwa Medvedev (Odds 1.5)
 
Inaonekana watu wanampiga sana parimatch kupitia games za basketball za FIBA maana round za Leo hajaweka hata moja[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] premier nimechungulia kaishia kuweka direct win tu hakuna option zingine, supabet hajaweka kabisaaaa...PLAYMASTER,BETPAWA nimechunguliwa wameweka option kama zote....ukanda mwingine sijachungulia...hii ndo raha ya kuwa na account katika makampuni zaidi ya Moja, wakibana huku unachungulia upande wa pili [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Very possible to win this one ... leo mpk tar 22 Sept 2019. Ngoja tuone.

Total - over 1.5 (1.25)
Kalmar Ff - Bk Hacken
Soccer - Sweden - Allsvenskan

Total - over 1.5 (1.24)
Vasteraas Sk - If Brommapojkarna
Soccer - Sweden - Superettan

Total - over 1.5 (1.28)
Kashima Antlers - Urawa Red Diamonds
Soccer - Japan - J. League Cup

Total - over 1.5 (1.15)
Fc Ryukyu - Kagoshima United
Soccer - Japan - J.League 2

Total - over 1.5 (1.17)
Acf Fiorentina - Perugia
Soccer - International Clubs - Club Friendly Games

Total - over 1.5 (1.27)
Manchester United - Leicester City
Soccer - England - Premier League

Total - over 1.5 (1.28)
Leicester City - Tottenham Hotspur
Soccer - England - Premier League

Total - over 1.5 (1.33)
Wolverhampton Wanderers - Chelsea Fc
Soccer - England - Premier League

Total - over 1.5 (1.18)
Rb Salzburg - Krc Genk
Soccer - International Clubs - UEFA Champions League

Total - over 1.5 (1.16)
Fc Shakhtar Donetsk - Manchester City
Soccer - International Clubs - UEFA Champions League

Total - over 1.5 (1.18)
Borussia Dortmund - Fc Barcelona
Soccer - International Clubs - UEFA Champions League

Total - over 1.5 (1.32)
Olympique Lyon - Fc Zenit St Petersburg
Soccer - International Clubs - UEFA Champions League

Total - over 1.5 (1.26)
As Monaco - Olympique Marseille
Soccer - France - Ligue 1

Total - over 1.5 (1.2)
Lyngby Bk - Fc Midtjylland
Soccer - Denmark - Superligaen

Total - over 1.5 (1.25)
Fc Basel 1893 - Fc Krasnodar
Soccer - International Clubs - UEFA Europa League

Total - over 1.5 (1.22)
As Roma - Basaksehir Fk
Soccer - International Clubs - UEFA Europa League

Total - over 1.5 (1.15)
Manchester United - Fc Astana
Soccer - International Clubs - UEFA Europa League

Total - over 1.5 (1.14)
Pec Zwolle - Rkc Waalwijk
Soccer - Netherlands - Eredivisie

Total - over 1.5 (1.2)
Naestved Bk - Fc Roskilde
Soccer - Denmark - 1st Division

Total - over 1.5 (1.28)
Spal 2013 - Lazio Roma
Soccer - Italy - Serie A

Total - over 1.5 (1.3)
Fc Torino - Us Lecce
Soccer - Italy - Serie A

Total - over 1.5 (1.29)
Acf Fiorentina - Juventus Turin
Soccer - Italy - Serie A

Total - over 1.5 (1.2)
Us Lecce - Ssc Napoli
Soccer - Italy - Serie A

Total - over 1.5 (1.13)
Traiskirchen Fcm - Sc Wiener Neustadt
Soccer - Austria Amateur - Regionalliga East

Winner - 1 (1.49)
Daniil Medvedev - Grigor Dimitrov
Tennis - ATP - US Open Men Singles

=============
Total Odds 194
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…