Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna kipindi niliweka laki timu 2 nikapigwa bila kuamini macho yangu, timu moja yenye odds 1.15 ikiwa nyumbani ilitoa sare ya 0-0. Ilikuwa Malmo fc v timu gani sijui.
Yaani siku hizi nikioona malmo fc huwa napita kama siioni, lakini nikifatilia matokeo yake naona mara nyingi imeshinda.
Juzi nimebet timu ninayoiamini kwa lak 2 nipate lak 4.2 nimeliwa. Sikuamin. Uzur sina mwili wa presha.
 
Kesho Nataka Kujilipua OT Under
IMG_20190906_213105.jpeg
 
Crdb huwa inakubali, unaweka kwenye account ya benki kisha unatuma. Au jamaa huwa ananiwekea kwa account yangu ya skrill. Nicheki PM
Hiv skrill hua haikubali mastercard? Mana kutoa hela kwao ipo kwa kiwango cha chini yan 3500
 
[emoji817][emoji273]INFO FROM CLUBS✓LETS **** BOOKIES[emoji817]
[emoji823] ◕►✦League : FINLAND
[emoji823] ◕►✦Match : TPS VS KAJAANI
? ◕►✦Time : 18.30
[emoji823] ◕►✦Tips : [ HOME&OV2.5 ] ( FT RESULT )
[emoji823] ◕►✦Odds : 2.3[emoji387][emoji387]
[emoji823] ◕► PROFESA FREE INFO

[emoji817][emoji273]INFO FROM CLUBS✓LETS **** BOOKIES[emoji817]
[emoji823] ◕►✦League : EURO
[emoji823] ◕►✦Match : ESTONIA VS BELARUS
? ◕►✦Time : 19.00
[emoji823] ◕►✦Tips : [ DRAW ] ( HT RESULT )
[emoji823] ◕►✦Odds : 2.0[emoji387][emoji387]
[emoji823] ◕► PEOFESA FREE INFO

[emoji817][emoji273]INFO FROM CLUBS✓LETS **** BOOKIES[emoji817]
[emoji823] ◕►✦League : FRANCE
[emoji823] ◕►✦Match : LYON VS CONCARMEAU
? ◕►✦Time : 21.00
[emoji823] ◕►✦Tips : [ DRAW ] ( HT RESULT )
[emoji823] ◕►✦Odds : 2.1[emoji387][emoji387]
[emoji823] ◕
We jamaha wewe
 
Leo na jana nlikuwa nafatilia FIBA star times asee utabir before match kuanza ni mgum sana is better kupress live
Kwasabab unawza sema under match ikamwaga magoal balaa and vice versa
Inaonekana ni match itakayokua na magol mengi lakin upande mwengine ni kama ulivyosema ngoja tuangale itakuaje
 
Mkuu Lazima izungukie huko ndy ije mkononi mwako
Itabidi nijaribu hiyo manake njia ya kusubiri mpaka hesabu ifike usd 50 ni majaribu tosha.
Kuna muda unakuta una $30, na ukisema utafute odds 2 ili udabo mzigo ndio unakwenda na maji jumla jumla.
 
Back
Top Bottom