Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo naanza hivi baada ya NBA wanawake kuzingua....[emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_2019-09-07-08-30-02.jpeg
 
Buddy hatimaye tutashuudia mtanange wa kukata na shoka, Daniil Medvedev Vs Rafael Nadal.

Haswaaaa ... and your BET is WON !!! ... BIG UP Chief 👊👏👏

Nadhani Rafael Nadal ananafasi kubwa kushinda #USOpen kwa upande wa wanaume. Kule kwa wanawake leo patakuwa hapatoshi pia. Selena atashinda lkn Andreescu atatoa upinzani mkali ... Over 21.5 games ni nzuri zaidi, as naona kila mmoja akishinda walau set 1
.
 
Hivi kwenye hii michuano inayo endelea ya FIBA kwanini wachezaji wakubwa kama kina Curry, James, Lillard nakadhalika hawapo kwenye kikosi cha USA? Naomba kufahamishwa tafadhali
USA ina wachezaji wengi, ila wengi wenye majina huwa wanakataa kucheza kwa lengo la kupumzika na kujiandaa kwa ajili ya msimu unaofuatia.
 
Mkuu kwa kuangalia screen shot hapo chini set ni zipi hapo kwa mfano iyo mech ya juu wanetoa set ngapi na ningeweka over 22.5 ningekula au na izo over unaweka ni nini maana sio set, si wengne tenis hatujui kitu
Haswaaaa ... and you BET is WON !!! ... BIG UP Chief [emoji109][emoji122][emoji122]

Nadhani Rafael Nadal ananafasi kubwa kushinda #USOpen kwa upande wa wanaume. Kule kwa wanawake leo patakuwa hapatoshi pia. Selena atashinda lkn Andreescu atatoa upinzani mkali ... Over 21.5 games ni nzuri zaidi, as naona kila mmoja akishinda walau set 1
.
Screenshot_20190907-090110.jpeg
 
Mkuu kwa kuangalia screen shot hapo chini set ni zipi hapo kwa mfano iyo mech ya juu wanetoa set ngapi na ningeweka over 22.5 ningekula au na izo over unaweka ni nini maana sio set, si wengne tenis hatujui kituView attachment 1200479

Nimeweka maelezo kwa njia ya picha, nadhani utaelewa vizuri ... (nimechukua mfano hiyo game ya Nadal vs Berrettini)

1567837438538.png
 
Wazee wa mikeka tulio na Account 1XBET kuna njia rahisi ya kuweka na kutoa pesa bila kutumia SKRILL, MYBUX, BankABC card wala line ya SAFARICOM. Njia hiyo ni kupitia kununua kwa Tigopesa ,M-pesa, Airtel Money, NMB, CRDB kwenye website hii ya wafinland https://localbitcoins.com/ pia kuna APK yao alikuwa anaizungumzia Mr. Marangu .
 
Hiyo ya bitcoin mbn ipo kitambo na baadhi hua wanaitumiaga au kuna utofauti gani?
 
Back
Top Bottom