Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Zambia vs SA,game inachezwa Lusaka.

Hivi hao Wazulu watacheza kwa amani kweli kwali ilivyo Zambia?mimi nampa Zambia direct win..
 
Leo naanza hivi baada ya NBA wanawake kuzingua....[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1200458
Nilikufuata Chief naona Canada/Jordan wameleta sifa ...

IMG_20190907_132812.jpeg
 
Wadau hivi betpawa hawajarekebisha swala la treni kama in refu na limebaki timu 2 au 3 ukaamua mpigiane hesabu kwa timu ulizobutua ili uçash out au bado wamekomaa kutupiga wadau?
 
Oi oi ooi! mabaharia mnazamisha jahazi kwa sisi wa mpira wa miguu, tukumbukeni kidogo!
 
Aisee hebu tupia za leo mkuu
1. Kosovo VS Czech Republic 12
2. England VS Bulgaria 1X
3.Iceland VS Moldova 12
4. Lithuania VS Ukraine 2X
5.Serbia VS Portugal 12
6.Turkey VS Andora 1X
7.New York City VS New England Revolution 12

ZILIZOKWISHATIKI TAYARI HIZI HAPA
1.Yokohama VS Ventforent Kofu niliweka 1X wametoka 3-2
2.Kashiwa VS Yamagata niliweka 12 3-4
3.Omiya Ardija VS Machida Zelvia niliweka 1X wametoka 1-1
4.Inaendelea Milton Keynes Dons - Afc Wimbledon niliweka 1X mpaka sasa 2-0
 
★👑★ FREE FOR TRUST ★👑★
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🔥► Date : 06- 09 - 2019
🔥► League: Brazil - Série A
🔥► Match : Corinthians - Clara CE
🔥► Time : 15:00
🔥► Tip : X ( HT )
🔥► Odd : 2.20 💰💰
🔥► Safe : 100%★ 💯★
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
► 💷★ Free Match For Trust & Confidence.. !💷
 
Doncaster vs Rotherham

Carlisle vs Exeter

*Draw*
_One to come_

BOTH OV 2.5 (MAXBET)
 
Wadau hivi betpawa hawajarekebisha swala la treni kama in refu na limebaki timu 2 au 3 ukaamua mpigiane hesabu kwa timu ulizobutua ili uçash out au bado wamekomaa kutupiga wadau?
Mie nimeshawahama nimekimbilia kuzuri kuzuri.
2019-09-07_16-01-34.png
2019-09-07_16-06-19.png
2019-09-07_16-01-34.png
2019-09-07_16-01-34.png
2019-09-07_16-06-19.png
2019-09-07_16-08-07.png
2019-09-07_16-17-35.png
2019-09-07_16-01-34.png
 
Back
Top Bottom