Pole sana mkuu jaribu kucheza single. tatizo letu ni kutaka kula pesa nyingi kwa kuweka timu nyingi kwenye mkeka matokeo unajikuta timu moja imechana nyingine zote zimetiki vipi kama ungekuwa umecheza moja moja usingeliwa pesa yako yote.
Ngoja niache kubet kwa muda kidogo; nimeliwa sana.