boom au hamkufata wazeeinplay doncaster win inatoa...
Labda uanzishe yakwako af iwe mpya. Mnaliwa mnabaki kukimbia kampuni kila siku....badala ya kujua unapokosea ujirekebishe.. Mtatafuta kampuni kilasikuHivi hakuna kampuni mpya ya kubet wadau
Mkuu mimi jama mimi barazil na Germany zimeniuaaJuzi nimebet timu ninayoiamini kwa lak 2 nipate lak 4.2 nimeliwa. Sikuamin. Uzur sina mwili wa presha.
Unakwama wapi mkuu?ymwenye idea na PayPal
pls assist
Hii kitu ikishakuwa kwenye damu huwezi ikimbia. Jiangalie unakwama wapi kisha jirekebishe. Usiwe na tamaa ya kuvuna mshiko mkubwa. Tena ukikamuliwa sana na akili huwa inakomaa unajikuta unacheza kimachale.Ngoja niache kubet kwa muda kidogo; nimeliwa sana.