Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa kikosi hichi kupata goli 6 na kuendelea ilikuwa ngumu poleni sana wale waliomfuata Belgium kwa 6+ goals maana kuna watu waliweka hadi mishahara yao!!
 
Daaahhh! Hayo mm sifuatiliagi kabisa mzee mm naenda na statistics na akili yangu inavyonituma....
Hivi kwenye hii michuano inayo endelea ya FIBA kwanini wachezaji wakubwa kama kina Curry, James, Lillard nakadhalika hawapo kwenye kikosi cha USA? Naomba kufahamishwa tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…