Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Serena William kashatepeta aisee
Sijui kama atatoboa
 
Andreescu Wins US Open (#Women) ... uoga huu, alikuwa na Odds mono balaa.
 
Pale unapojaribu handcup za. Corner halafu mambo yanatick [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Haya yule aliyesema hii game both team to score YES aanze kuwalipa wenzie.....Guys this is football isee halafu hii league ya BRAZIL isee GG kutokea ni ngumu halafu katika hiyo game Sau paulo wachezaj wengi wazur hawakucheza....of course simkatishi jamaa Ila wakati mwingine tusijiaminishe 100% maana hatuchezi sisi uwanjan...maana unapoweka mkeka humu ni bora uwaambie watu kuwa ni just a prediction lakini sio kwamba 100% maana sisi wabongo bhana ukishamuaminisha mtu anazama maxima hadi pesa ya mtaji!!!

Don't worry bro....next time itatick but uwe unafuatilia na league, yaani kuna league hasa za america ya kusini na kati ambazo huwa zinaanza kimasihara lakini mwisho wa siku zinatoa GG au 3+ mfano CHILE, PERU, VENEZUELA, MEXICO, BOLIVIA etc
 
Uko sahihi kk
 
Napata sms nyingi kwenye inbox ya jamii forum.. Tatizo ni kwamba hazifiki kwa wakati... Naomba munitafute WhatsApp au telegram 0658952701

Kwa wale wote wanao hitaji account zao za SKRILL kua verified...
 
Wakuu hizi Odds za Taifa staz vipi zinaweza kuaminika Tumdhamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…