Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kubet bhana sometimes unaona kama ni lahisi lakin sio mchezo haya hata dk 10 hazija fika kitu kinatiki.. Kubet magor ni bora kuliko direct win

Screenshot_20190908-160909_22Bet.jpeg
 
Ala! Ama kweli
Kwa kuanzia leo fanya hivi chukua elfu 10 kisha jiunge na kampuni yoyote ya kubeti isipokuwa M bet kisha tafuta gem ya tz vs burundi halafu wewe bonyeza sehemu waliyoandika double chance kisha bonyeza palipo andikwa hivi 1x halafu placebet. Su iri mechi ikiisha uchukue hela ulizokula sasa utakuwa umeanza kujua kubeti
 
Goli linapatikana dk ya 4 ... unapata matumaini Over 1.5 ya kufikia tu hapa ... af kuna lis****ge limoja linakosa penalty. Na mkeka unachanika na kuharibu kazi nzr iliyofanywa na wengine. Weekend zina curse flan ... grrrrrrrrr!
Screenshot_20190908-194240_1567960984960.jpeg
 
Goli linapatikana dk ya 4 ... unapata matumaini Over 1.5 ya kufikia tu hapa ... af kuna lis****ge limoja linakosa penalty. Na mkeka unachanika na kuharibu kazi nzr iliyofanywa na wengine. Weekend zina curse flan ... grrrrrrrrr! View attachment 1201859
aisee manina kabisa na mini HELMOND alifanya hivyo hivyo ..shenzi kabisa haya ma holland
 
Saa zingine betting sijui uiweke fungu gani
Ligi zilipo anza tu niliamua acc ya 1xbet sita kiwa na withdraw hadi katikati ya ligi
Acc za betpawa na parimatch na gal ndio zitakua za kutoa
1xbet nilideposit usd 100, nikaipandisha hadi 400+
Ikaja ikashuka hadi usd 70,
Nikakaza ikapanda hadi usd 700+
Ghafla ikashuka hadi 160
Nikawithdraw usd 60
100 nikaipandisha hadi 500+
Leo Stars kaishusha hadi usd 12 [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ulitakiwa uwe unatoa hata 50,000 ya kula bata,ona sasa zimerudi kwa mwenyewe.
Kanuni yangu ni hii:Nikishinda lak,elfu hamsini bata zingine mtaji.
 
Back
Top Bottom