hapo kina erricksen sijui wanafanyejeView attachment 1201869
Pesaaa Tukutane baadayeView attachment 1201812
Hii nimeifata mazima lkn naona giza tu.
vyote mkuuDalili za kilio aka maumivu
Saa zingine betting sijui uiweke fungu gani
Ligi zilipo anza tu niliamua acc ya 1xbet sita kiwa na withdraw hadi katikati ya ligi
Acc za betpawa na parimatch na gal ndio zitakua za kutoa
1xbet nilideposit usd 100, nikaipandisha hadi 400+
Ikaja ikashuka hadi usd 70,
Nikakaza ikapanda hadi usd 700+
Ghafla ikashuka hadi 160
Nikawithdraw usd 60
100 nikaipandisha hadi 500+
Leo Stars kaishusha hadi usd 12 [emoji24][emoji24][emoji24]
Aisee acha tu
khah 4 elfu au 40 elfu!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm sina hamu jana elfu 4 yangu imesepa
4k not 40kkhah 4 elfu au 40 elfu!!!
Mkuu huu mchezo nahis Shweitan ana mkono wake kha miye denmark vs georgia wameniharibia mikeka 2 yaan niliweka over 0.5 yaani mechi itoe goli 1 matokeo yao eti 0:0 na ilibakia wao tu yaani!!Saa zingine betting sijui uiweke fungu gani
Ligi zilipo anza tu niliamua acc ya 1xbet sita kiwa na withdraw hadi katikati ya ligi
Acc za betpawa na parimatch na gal ndio zitakua za kutoa
1xbet nilideposit usd 100, nikaipandisha hadi 400+
Ikaja ikashuka hadi usd 70,
Nikakaza ikapanda hadi usd 700+
Ghafla ikashuka hadi 160
Nikawithdraw usd 60
100 nikaipandisha hadi 500+
Leo Stars kaishusha hadi usd 12 [emoji24][emoji24][emoji24]
Hahah what a day!Goli linapatikana dk ya 4 ... unapata matumaini Over 1.5 ya kufikia tu hapa ... af kuna lis****ge limoja linakosa penalty. Na mkeka unachanika na kuharibu kazi nzr iliyofanywa na wengine. Weekend zina curse flan ... grrrrrrrrr! View attachment 1201859
sasa hujui kuna watu humu 500k zilishaenda kwa Mara moja4k not 40k
Kwann hiyo odd ya spain iko juu hivyo...Nataka nione nani mzaifu atakae pigwa ndani ya dk 10.
Ujitawaze sasa ili akili irudi vizuri uelewe mantiki ya alichoandika.nimecheka mpaka nimejinyea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujitawaze sasa ili akili irudi vizuri uelewe mantiki ya alichoandika.
Hahaaa kawaida...unataka kula tu.umepasuka vibayaaaaa