Kwa kuanzia leo fanya hivi chukua elfu 10 kisha jiunge na kampuni yoyote ya kubeti isipokuwa M bet kisha tafuta gem ya tz vs burundi halafu wewe bonyeza sehemu waliyoandika double chance kisha bonyeza palipo andikwa hivi 1x halafu placebet. Su iri mechi ikiisha uchukue hela ulizokula sasa utakuwa umeanza kujua kubeti
TusubirLOST
Apo utashanga game inaisha 3:1Stars wameanza wenge
Matuta yalikuaje mkuuStarz matuta kaseja lazima azingue
Tanzania 3 Burundi 0Matuta yalikuaje mkuu
Kaseja kacheza au wamepiga nje?
Matuta yalikuaje mkuu
Kaseja kacheza au wamepiga nje?
aisee manina kabisa na mini HELMOND alifanya hivyo hivyo ..shenzi kabisa haya ma hollandGoli linapatikana dk ya 4 ... unapata matumaini Over 1.5 ya kufikia tu hapa ... af kuna lis****ge limoja linakosa penalty. Na mkeka unachanika na kuharibu kazi nzr iliyofanywa na wengine. Weekend zina curse flan ... grrrrrrrrr! View attachment 1201859
Mkongwe naona unambonyeza kimya kimya...
Dalili za kilio aka maumivuhapo kina erricksen sijui wanafanyejeView attachment 1201869
Ulitakiwa uwe unatoa hata 50,000 ya kula bata,ona sasa zimerudi kwa mwenyewe.Saa zingine betting sijui uiweke fungu gani
Ligi zilipo anza tu niliamua acc ya 1xbet sita kiwa na withdraw hadi katikati ya ligi
Acc za betpawa na parimatch na gal ndio zitakua za kutoa
1xbet nilideposit usd 100, nikaipandisha hadi 400+
Ikaja ikashuka hadi usd 70,
Nikakaza ikapanda hadi usd 700+
Ghafla ikashuka hadi 160
Nikawithdraw usd 60
100 nikaipandisha hadi 500+
Leo Stars kaishusha hadi usd 12 [emoji24][emoji24][emoji24]