Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Daah sio mchezooo....Jiwekeeee ka utaratibu Cha ku withdrawal USD 200 kila unapofikisha USD 500...bila kujiwekea mikakati utakua unacheza nipe chukua yoteee na hao Jamaaa....
 
Mkuu huu mchezo nahis Shweitan ana mkono wake kha miye denmark vs georgia wameniharibia mikeka 2 yaan niliweka over 0.5 yaani mechi itoe goli 1 matokeo yao eti 0:0 na ilibakia wao tu yaani!!
 
Mchana alisepa na 15k yangu wale FIBA jioni pesa yangu nimerudisha kwa handball hii ndo raha ya kuwa unajua kubadilisha upepo kwenye michezo tofauti tofauti
 
Nataka nione nani mzaifu atakae pigwa ndani ya dk 10.
 

Attachments

  • Screenshot_2019-09-08-21-13-54.png
    41.7 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…