Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya kipigo kutawala 1xbet, nikaona niamie Jana betpawa Ila nashukuru nimepokelewa kwa kishindo, japo Sweden angeshinda tuu hiyo mikeka Lost ingekua win. Ila all in all nashukuru.
Opstion gani unabet mkuu
 
___________________


⏱ 1300hrs ⌚




@β¨πŸŽ–Lady.Rita Salas (Army)πŸ‡³πŸ‡¬β©
🎾3743 FIVB World Tour Final, Rome 2019
MOL A B / Soerum C S - Gibb J / Crabb T
*1HH 1.22*🍏🍏🍏


@⁨πŸ’₯Angel Micheal⁩
⚽1388 European Championship, Qualification
Finland - Italy
*X2 1.12*🍏🍏🍏


⚽1942 European Championship, Qualification
Georgia - Denmark
*2 1.13* DNB🍏🍏🍏


@β¨πŸ’‹πŸ€‘ARKπŸ₯³πŸ’ƒπŸ½OF πŸ‘…πŸ”₯GODπŸ€‘πŸ”₯⁩
⚽1802 1st Division
Fredericia - Nykobing
*Over(1.5) 1.15*🍏🍏🍏


@⁨🍏DANNY🍏⁩
⚽1376 European Championship, Qualification
Sweden - Norway
*X or Ov(1.5) 1.19*🍏🍏🍏


@⁨TS⁩
🎾7826 US Open, New York, USA
Medvedev, Daniil - Nadal, Rafael
*2HH 1.19*🍏🍏🍏


@⁨PHOBIAπŸ₯‡β©
⚽1031 CFL
SK Sokol Brozany - SK Zapy
*Over HT(0.5) 1.19*🍏🍏🍏





Odd: 3+


Bet won βœ…πŸ₯¦πŸ₯—πŸΎπŸΎ




πŸ₯— *TEAM gODS OF GREEN* πŸ₯¦
 
Kwanini?? Naona watu wanapigia hela na mimi ningependa kujua.....
Unachokiona ni sehemu ndogo ya kile kinachoendelea/kutokea nyuma ya pazia. Wanakushauri usibet kwa sababu wao tayari ishakuwa ni sehemu ya maisha yao, licha ya kujua hasara wanazozipata.

Betting ni nzuri ukiona mwenzako jinsi anavyovuna mazao mengi ilihali uliona akipanda mbegu chache. Huu mchezo ni very addictive na usipokuwa makini utajikuta hata ile 500 uliyobakiwa nayo mfukoni unaenda kusukia mkeka na kukaa kwa matumaini kuwa utashinda kuaniza buku hivyo unakuwa umemultiply hela uliyokuwa nayo, baadae ikifika unajikuta mkeka ushachanika, unaanza kopa kama sio kupiga mizinga watu.
 
Hawa jamaa waongo sana yaani Uholanzi ana odds 3.74 kwa Estonia mwenye odds 36?
 
100%
dundalak mpe apate goli kati ya dakika ya 76-90
weka nyumba na kila kitu unachomiliki mkuu nitarudi na marejesho
 
Duuh Japan katukosesha hela kwa point moja. FIBA nzuri sana
 
: EURO NATIONS


AZERBAIJAN VS CROATIA


BOTH TEAM TO SCORE NO


πŸ‘‰1.55
] KING TEE: EURO NATIONS


LATVIA VS N.MACEDONIA


MACEDONIA TO WIN


πŸ‘‰1.60

EURO NATIONS


POLAND VS AUSTRIA


POLAND WIN OR DRAW


πŸ‘‰1.35




WALES VS BELARUS


WALES TO WIN


πŸ‘‰1.55
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…