Nguniani
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 1,141
- 1,319
[emoji23][emoji23]Usijaribu Usizani Kama Tunakubania Pesa Ila Nakushauri Usijaribu Nakwambia Hivi Sababu Najua Nini Nachopitia Japo Siachi
[emoji23][emoji23]Usijaribu Usizani Kama Tunakubania Pesa Ila Nakushauri Usijaribu Nakwambia Hivi Sababu Najua Nini Nachopitia Japo Siachi
Mdau mbn mi sioni apo kwenye option pameandikwajee.Majibu ya majaribio kwa gem 11 mpaka sasa ni 2 tu ndio zimegoma bila kufanyia uchambuzi.View attachment 1202210View attachment 12022094
Option inasema kipindi cha pili total goals zisiwe mbiliOption Inasemaje mkuu haionekani vizuri?????[emoji15][emoji15][emoji15]
Majibu ya majaribio kwa gem 11 mpaka sasa ni 2 tu ndio zimegoma bila kufanyia uchambuzi.View attachment 1202210View attachment 12022094
Hiii option ni kuwa kipindi cha pili wafanye wanavyo weza ilajumla ya magoli yasiwe mawiliMdau mbn mi sioni apo kwenye option pameandikwajee.
Pame andikwaje mdau
Hapa lazma hata moja itiki au zaidiUnafanyaje kwa mfanoView attachment 1202192
Nafahamu meridian ndo nnayotumia zingine sijui mkuu
Playmaster bet (cash out)Nafahamu meridian ndo nnayotumia zingine sijui mkuu
Handball nachezaga lakin over inanilaga sana, sa sijajua ni uchaguzi wa timu au nina gundu na huu mchezo! Hebu nipe mbinuMchana alisepa na 15k yangu wale FIBA jioni pesa yangu nimerudisha kwa handball hii ndo raha ya kuwa unajua kubadilisha upepo kwenye michezo tofauti tofautiView attachment 1201924
Huyu nae hakoseagi sanaView attachment 1202322View attachment 1202323
Play master wana cashout??Playmaster bet (cash out)
NdioPlay master wana cashout??
Nimekupata mkuu...!! Hii tamuOption inasema kipindi cha pili total goals zisiwe mbili
Wafanye wawezavyo ila jumla ya magoli kipindi chapili yasiwe ma2
Google playSorry App inaitwaje hii
WON
SERBIA vs PORTUGAL Highest Scoring Half:2nd 2.06