Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_20190909_191705_239.jpg
 
Nilikaza Roho nikatia Mzigo, Ila nimejuta kwann sikuisubiri ifike 3.22
Halaf huku kwenye hiz game za europe Btts(GG) wamezipa point nyingi jana nilitest zari game 2 zikakubali
20190909_205147.jpeg
 
Tena In play ndo kunayo pesa, nilianza na kamtaji cha 9000 Ila now ipo 200k+ profit, Namshukuru mungu maana 1xbet option nyingi Ila full vipigo.
Acha tuuu..90K imeondoka leo ila itarudi. Saa ingn bhana bora waweke option chache mana hizo nying zinatamanisha kuzifata.
 
Back
Top Bottom