Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_20190909_235154_649.jpg
 
Wakuu basi naona vipigo vimezidi...options zikiwa chache mnasema ngoja tutafute credit cards za online kwa ajiri ya 1xbet mkienda huko vipigo vinakolea mnasema machaguo mengi sana yanachanganya ...hahahaha naona hali ni tete wakuu..All in all mapambano yaendelee.
 
Mkuu kama subtitution haikufanyika kabisa unakua umekula au unarudishiwa hela au
Tangu nimeanza kuangalia mpira sijawai kuona mechi imeisha bila kufanyika walau substitute 3.
So sidhani km inaweza kutokea kwasababu hata hii option inawekwa tu kwenye mechi kubwa kubwa na zenye ushindani hasa
 
: EURO NATIONS


AZERBAIJAN VS CROATIA


BOTH TEAM TO SCORE NO


👉1.55
] KING TEE: EURO NATIONS


LATVIA VS N.MACEDONIA


MACEDONIA TO WIN


👉1.60

EURO NATIONS


POLAND VS AUSTRIA


POLAND WIN OR DRAW


👉1.35




WALES VS BELARUS


WALES TO WIN


👉1.55
[ EURO NATIONS


LATVIA VS N.MACEDONIA


MACEDONIA TO WIN


👉1.60

✅✅✅✅✅✅✅✅✅💚💚💚💚💚✅✅✅👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏✅✅

EURO NATIONS


POLAND VS AUSTRIA


POLAND WIN OR DRAW


👉1.35

✅✅✅✅✅✅✅✅✅💚💚💚💚💚✅✅✅👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏✅✅
NATIONS FRIENDLY


WALES VS BELARUS


WALES TO WIN


👉1.55

✅✅✅✅✅✅✅✅✅💚💚💚💚💚✅✅✅👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏✅✅
 
*1XBET:J1GZL*

Malaysia - United Arab Emirates
Total: Total Over (2.5)
1.64

Singapore - Palestine
Total: Total Over (1.5)
1.32

Hong Kong - Iran
Total: Total Over (2.5)
1.36

*Odds:2.94*
*🌴🐾ARK OF GOD🐾🌴*
 
Mkuu kama subtitution haikufanyika kabisa unakua umekula au unarudishiwa hela au
Tangu niujue mpira sijawahi kuona dk 9 bila sub. Ila kama ikitokea itabidi wakurudishie hela yako. Ni sawa umechagua fulani afunge goal muda wowote, then huyo fulani hajaingia kabisa uwanjani. Hapo manake mrusi hajala hela yako na wewe hujala hela yake, so anakurudishia hela yako mpambano uanze upya.
 
Yan 1xbet hela ni yangu ila naogopa kuitoa..
Hiv ina maana kama nataka nitoe laki4 na natumia njia ileile niliyowekea, watanizingua kweli? Mana nina hofu sana!
 
Back
Top Bottom