Nato msaada kwa wasiojua skrill ni kitu gan
Skrill ni bank yq mtandaoni ambayo inakusaidia kufanya malipo kwenye sehemu ambapo skrill inatumika
Kama kwenye forex kubet na sehemu nyingi sanaa hata kuna sehemu za kununua vitu kuna huduma ya skrill
Unachotakiwa kufanya ni kuweka pesa kwenye skrill acc yako
Ambapo hapa sasa pesa itabidi itokee bank au mpesa mastercard pia kama umeshinda bet yako unaweza toa pesa kutoa mfano 1xbet na kuweka kwenye skrill acc yako alafu unarudisha bank kwa matumizi ya kila siku
Note:
huwezi toa pesa kutoka skrill kwenda mpesa mastercard ila kuweka skrill inawezekana
Sasa ili utumie skrill yakupasa ku verify adress yako, location na id yako hapa kwenye adress unaweza tumia bank statement na vitu vingine vyenye kuonesha jina na adress yako kwenye id unaweza tumia leseni ya udereva pasi ya safari na ID ya NIDA ivyo ndio vitakusaidi ila sio cha mpiga kura au kitu kingine ni ivyo nilivyotaja hapo
Kumbuka na accc yako ya bank inatakiwa kuwa na online purchase kuna mtu hana acc ya bank ana mpesa tu ila mpes ndio tumeona huwezi pokea pesa toka skrill usijlal nakusaidia pia
Note:
unaweza tumia skrill bila kufanya verification ila ina limit meisho 100$ uki- verify unaweza fika hadi 50000$
Sasa kwa wale sio na bank acc au unaogopa kutumia acc yako ya bank basi fanya iv au kuna watu wanafanya forex humu basi ww utakuwa upo vizur
Cha kufanya fungu acc forex utaverify kama skrill tu kwa vitambulisho vya hapo na vitu vinginee kama unajinga FB vile
Utakachofanya baada ya kuweka pesa kwa mpesa mastercard utataka kutoa kwa mpesa tena ila huna bank acc au unaogopa kulink bank acc yako
Fanya iv ukishapiga pesa uko kwenye kubet kwako itoe pesa iweke skrill alafu toa skrill weka kwenye acc yako ya forex yan kwa broker wako ila kumbuka uyu ni yule broker anaetumia mpesa tu sio kila broker ndugu mfano mzuri ni templer fx
dashboard.templerfx.com
unaweza jiunga hapo
Sasa kupitia uyo broker utaweza toa pesa hadi kwenye mpesa acc yako
Link ya kujiunga skrill
Use Skrill to send money to friends and relatives, pay and play online or make quick and easy international payments to merchants. Open an account:
https://account.skrill.com/signup?rid=0&utm_source=RAF&utm_campaign=AND
ONYO: Sasa ruka uko ukutane na skrill fake alafu uje unione mm mchawi nimekupa link sahihi