Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo Chelsea Anakufa, Genk Anakufa, Liver Atatoa Under 2.5, Dortmund Anakufa....Yangu Ni Hayo Tu. Muwe Na Usku Mwema Wale Waliopita Na Inter & Lyon
 
Sio rahis kiivo.. Hii uefa ndg yng ina surprise zake kama izi.. Wkt wanapanga makundi kila m2 alijua Slavia Prague ndo team ya kubeba point lkn leo anaongoza kwa Inter
Iyo timu kama naikumbuka vizuri ilipitia play-offs km sijakosea
Huko nako ilikua na matokeo ya kushangaza vile vile; kuna vigogo walikaa so usiichukulie poa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uhakika
20190917_214555.jpeg
 
Iyo timu kama naikumbuka vizuri ilipitia play-offs km sijakosea
Huko nako ilikua na matokeo ya kushangaza vile vile; kuna vigogo walikaa so usiichukulie poa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo maana namwambia mdau hapo uefa hii we acha tu
 
Yani sasa hivi inplay ndio zinanipa hela
Hizi pre match hamna kitu aiseee

Ukiweka under watu wanafunga kama netball
Ukiweka over wanakata mauno tuu kufunga hamna

Isee betting inazidi kuwa ngumu kila uchwao
Yan mie naweka mpaka under 5.5 wazee wananifuata hukohuko mamamae!
 
Wale wenye kifurishi cha chini kabisa super sport 8 wanaonesha mechi ya genk na salsburg unaweza angalia samata atafanya nini leo
 
Back
Top Bottom