SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha..!! Watu ni kubana mapyumbu tu, hakuna namna aliyewakimbia lyon, na inter kisha akacheka chuma cha uso kitampata muda co mrefu, kwa liver, barca au benfica najua kuruka pote apo ni vgumu sana.