Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,179
- 2,948
Hii mechi si iliahirishwa hii au?...kampuni gani hii wameiweka kwenye bet market? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama una moyo mgumu ua Yanga hapo[emoji116]View attachment 1210303
Hii mechi si iliahirishwa hii au?...kampuni gani hii wameiweka kwenye bet market? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama una moyo mgumu ua Yanga hapo[emoji116]View attachment 1210303
Nenda hapaWakuu nisaidieni jinsi ya kupata app ya pmbet, nahangaika bila mafanikio.
promo code sio lazimaNimekwama promo code
Soccer 24 walichemka ila naona sahivi ndo wameweka mambo sawa. Ni kweli Imeahirishwa kiongoziHii mechi si iliahirishwa hii au?...kampuni gani hii wameiweka kwenye bet market? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wanaingi UCL wanajua ndio maana walishika nafas za juu kwenye ligi zaoUcl hata yule unayehisi ni kibonde anakaza balaa hata akifungwa ni kwa mbinde sana
Ha haa, af mpira unadunda, usishangae mwamba ukasepa na 600k kwa jeroView attachment 1210559
Hela ya sigara mbili inamajabu kama jana
Ha haa, af mpira unadunda, usishangae mwamba ukasepa na 600k kwa jero
hii ni kampuni gani??View attachment 1210559
Hela ya sigara mbili inamajabu kama jana
hii ni kampuni gani??
Mkuu samahani naomba unielekeze jinsi ya kuposti mkeka kama ulivyoposti.View attachment 1210559
Hela ya sigara mbili inamajabu kama jana
Mkeka wangu wa timu 16, odds zilikuwa 991 timu 14 zimetiki mbili zimechana niliwapa direct win
Dah Sunderland na Portsmouth Mungu anawaona.