Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakuna mapato leo ni mwendo wa hasara
Barca na mwenzie wame shindwa hata over 0.5
Screenshot_2019-09-18-00-28-18-1.jpeg
 
Sijui nirudishe pesa yangu kwa nguvu au nilale??
Moja ya kanuni tunayo ikiuka sana wakamalia ni hii ya kutaka kulipiza kisasi kwa haraka

Ukipoteza hata kama ni milioni unashauriwa kwa siku hiyo usibet tena, potezea utaanza upya next day

Kaushauri tu mkuu
Kalititesa sana haka kamtindo ka kutaka kurudisha lost kwa haraka
 
Yani unachapikaa mpka unashangaaa....
 
Moja ya kanuni tunayo ikiuka sana wakamalia ni hii ya kutaka kulipiza kisasi kwa haraka

Ukipoteza hata kama ni milioni unashauriwa kwa siku hiyo usibet tena, potezea utaanza upya next day

Kaushauri tu mkuu
Kalititesa sana haka kamtindo ka kutaka kurudisha lost kwa haraka
Me kusema ukweli kwa sasa huwa nabet match mbili tu hadi 3.
Stake high. Then naendelea na mambo mengine. Usiku ndio nacheki matokeo. Then natengeneza tena mwingine wa kesho yake.

Sili kila siku lkn nikija siku ya kufunga hesabu nakuwa nina faida kibindoni.maana odd sichezi chini ya 1.9 kwa kila match. So jumla nakuwa na odd 3.8+

Ila leo matokeo hovyo sio poa[emoji119][emoji3][emoji3]
 
Usiseme hamna aliyemla kanji..
 
Attachments

  • Screenshot_20190918-080147.png
    Screenshot_20190918-080147.png
    28.5 KB · Views: 32
  • Screenshot_20190918-080147.png
    Screenshot_20190918-080147.png
    28.5 KB · Views: 27
  • Screenshot_20190918-080159.png
    Screenshot_20190918-080159.png
    32.7 KB · Views: 30
Back
Top Bottom