Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,609
- 10,491
Mzee una cheza option gan ?Mapambano na kanji bado yanaendelea
Mzee una cheza option gan ?Mapambano na kanji bado yanaendelea
Nimetamani kujua pia maana si kwa odd hizo atupie mkeka tuone inaweza ikasaidiaMzee una cheza option gan ?
Mimi niliweka First Half over 1.5 mechi tatu, zimenifuta machozi baada ya jana kuangukia puaNimetamani kujua pia maana si kwa odd hizo atupie mkeka tuone inaweza ikasaidia
Hongera, ila unaweka stake ndogo sana, yaani mia mbili tu?!Mtaji wa kesho [emoji120]View attachment 1210993View attachment 1210993
Ila kanji wiki hii nimemnyoosha japo kwa mbinde
Hongera mkuu wengne ni vipigo kila kukicha iwe mkekabet, iwe parimatch, iwe premiar bet, iwe mbet, iwe,iwe soka beti,iwe supa bet na sasa 1xbet ni vipigo tu sijui tunaokosea wap maana mpaka odd ya .0.01 inachana duMapambano na kanji bado yanaendelea
Haupo peke ako! Watu tumenyamaza tu!Hongera mkuu wengne ni vipigo kila kukicha iwe mkekabet, iwe parimatch, iwe premiar bet, iwe mbet, iwe,iwe soka beti,iwe supa bet na sasa 1xbet ni vipigo tu sijui tunaokosea wap maana mpaka odd ya .0.01 inachana duView attachment 1211135
Mkuu napumzika kidogo zile red dot kwenye meridian zipungue zinanikatisha tamaa kuna anaejua namna ya kuzifuta anisaidieHaupo peke ako! Watu tumenyamaza tu!
Acha kuitumia kama 2weeks au 3 then zitaondoka ila zitabaki kweny ticket history, pale "my tickets" patakua empty! Mi hazipo ten saiv mana niliacha kuitumia 2weeks zimekata..1xbet unafuta kbs ili usivunjik moyo😊😊Mkuu napumzika kidogo zile red dot kwenye meridian zipungue zinanikatisha tamaa kuna anaejua namna ya kuzifuta anisaidie
Poa mkuu ngoja niache kwanza mana dah wangeeka pa kufuta ingekua poa,, nimelog out kabisaAcha kuitumia kama 2weeks au 3 then zitaondoka ila zitabaki kweny ticket history, pale "my tickets" patakua empty! Mi hazipo ten saiv mana niliacha kuitumia 2weeks zimekata..1xbet unafuta kbs ili usivunjik moyo[emoji4][emoji4]
Ni uongo basi!Wakuu nimeambiwa bancAbc card zao zinapokea malipo toka 1xbet
ni kweli?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] kanji kashavuruga siku halafu unakutana na maswali kama haya.Ni uongo basi!
Mapambano na kanji bado yanaendelea