Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Ila kanji wiki hii nimemnyoosha japo kwa mbinde
Mkuu umewezaje odds nyingi ivo option gn magoli au
Ila kanji wiki hii nimemnyoosha japo kwa mbinde
Kupigwa ni sehemu ya maisha[emoji16] [emoji16] [emoji16] kanji kashavuruga siku halafu unakutana na maswali kama haya.
Mkuu nilikua sijaingia humu mda kidogo nilikua bzy na mambo mengne..pole kwa kuchelewa kupata ujumbe wakoHuyu idiot anaona watu tunambembeleza sana ama mbona hajibu comment za watu??
Mkuu IDIOT KWA HESHIMA NA TAADHIMA UNAHITAJIKA HUMU isee utupe mbinu unazotumia tumpige kanji wote maana sio kwa odds hizo na stake hizo za mlima!!
Hapo nimechanganya sana kuna football under,basketball win,ice hockeyMkuu umewezaje odds nyingi ivo option gn magoli au
Tarusha ila huwa naweka behewa si mchezo alafu na mix football,ice hockey,basketball na mda mwngne mpaka volleyballIdiot tuma mikeka nacc tujaribu acha uchoyo ujue nikiona umeweka 29 mm naweza weka ata chini ya apo tunakaribu bahati asa ukituonesha usha win unazingua boya
Uwe unatishilikisha tutembelee lami na sisi, mana huku vumbi tuuHapo nimechanganya sana kuna football under,basketball win,ice hockey
Hahahaha huyu kanji anabahat sana nimemkosa 18M kwa timu moja tyu dakika imefungwa dakika 87 zilikua timu 25..football 5,basketball 5,ice hockey 5,tenis 5 na volleyball 5Mkuu hongera sana, accumulator ya odds 30 unaweka 20,000! Si mchezo!
Kama huo mwendo unaendelea nao kila siku na unawithdraw, basi akaunti yako imekidhi vigezo vya kuwekewa vikwazo.
Sema tu kwa vile unaweka odds nyingi, bookmarker anakuvutia muda tu, anajua kuna siku yako utaliwa.
Tarusha ila huwa naweka behewa si mchezo alafu na mix football,ice hockey,basketball na mda mwngne mpaka volleyball
Mzee kama ni football huwa nachanganya under na double chance..basket nawe win first quarter,hockey nacheza under,volleyball first period hzo ndio zinazo busti oddsMzee una cheza option gan ?
Hahahaha huyu kanji anabahat sana nimemkosa 18M kwa timu moja tyu dakika imefungwa dakika 87 zilikua timu 25..football 5,basketball 5,ice hockey 5,tenis 5 na volleyball 5
Ume-verify account..au kutoa haijakusumbuaMzee kama ni football huwa nachanganya under na double chance..basket nawe win first quarter,hockey nacheza under,volleyball first period hzo ndio zinazo busti odds
Nimetoa 4M hata dakika mbil hazikupita mzgo ukaingia fastaUme-verify account..au kutoa haijakusumbua
Hand cap tembea nayoEuropa Vipi jamani[emoji2]