Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya hapo nikaanza live betting, navizia dakika za mwisho wakati odds zimepanda, naweka goli moja zaidi. Imenibeba haswaa:
 
Mapambano na kanji bado yanaendelea
Hongera mkuu wengne ni vipigo kila kukicha iwe mkekabet, iwe parimatch, iwe premiar bet, iwe mbet, iwe,iwe soka beti,iwe supa bet na sasa 1xbet ni vipigo tu sijui tunaokosea wap maana mpaka odd ya .0.01 inachana du
 
Mkuu napumzika kidogo zile red dot kwenye meridian zipungue zinanikatisha tamaa kuna anaejua namna ya kuzifuta anisaidie
Acha kuitumia kama 2weeks au 3 then zitaondoka ila zitabaki kweny ticket history, pale "my tickets" patakua empty! Mi hazipo ten saiv mana niliacha kuitumia 2weeks zimekata..1xbet unafuta kbs ili usivunjik moyo😊😊
 
Acha kuitumia kama 2weeks au 3 then zitaondoka ila zitabaki kweny ticket history, pale "my tickets" patakua empty! Mi hazipo ten saiv mana niliacha kuitumia 2weeks zimekata..1xbet unafuta kbs ili usivunjik moyo[emoji4][emoji4]
Poa mkuu ngoja niache kwanza mana dah wangeeka pa kufuta ingekua poa,, nimelog out kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…