Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Idiot tuma mikeka nacc tujaribu acha uchoyo ujue nikiona umeweka 29 mm naweza weka ata chini ya apo tunakaribu bahati asa ukituonesha usha win unazingua boya
 
XHT 3:00
 
Attachments

  • IMG_20190919_131021_736.jpg
    16.1 KB · Views: 30
Huyu idiot anaona watu tunambembeleza sana ama mbona hajibu comment za watu??

Mkuu IDIOT KWA HESHIMA NA TAADHIMA UNAHITAJIKA HUMU isee utupe mbinu unazotumia tumpige kanji wote maana sio kwa odds hizo na stake hizo za mlima!!
 
Mkuu nilikua sijaingia humu mda kidogo nilikua bzy na mambo mengne..pole kwa kuchelewa kupata ujumbe wako
 
Hahahaha huyu kanji anabahat sana nimemkosa 18M kwa timu moja tyu dakika imefungwa dakika 87 zilikua timu 25..football 5,basketball 5,ice hockey 5,tenis 5 na volleyball 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…