Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
Sawa mzee ila ngoja nisubirie live betMkuu timu nyingi sana hizo.. Kama una hilo salio weka timu 1 au 2
Inawezekana nimeuvaa mkenge kwa Atletico Madrid..
acha wivu we sunguraNyie ndo vichawi sijui unamdanganya nani et account inasoma sifuri unabet elfu25 izo kutoka wapi nyau
ball possessionAnaongoza goal position tuh
Atletico inafahamika ni timu ya Under 2.5 (on a safe side, Under 3.5) ...Inawezekana nimeuvaa mkenge kwa Atletico Madrid..
Atletico inafahamika ni timu ya Under 2.5 (on a safe side, Under 3.5) ...
Akicheza na Real Madrid, Villareal au Barca tu ndio hiyo option inakuwa na mashaka.
Leo Under 3.5 alikuwa na odds 1.35
Sawa BAKITAball possession
First half wameruka ruka tu ... yani 45mins hakuna shot on target hata moja !!!Barcelona
inagoma ile ya voda iliyoishia88ipo kwenye wep yao, ni ya voda