Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,383
- 12,577
Omba MUNGU Mkuu kazi ni pevuNimewapa Barca win
Omba MUNGU Mkuu kazi ni pevuNimewapa Barca win
Naunga mkono hoja..saiv itabid mana siyo kabsa!Kwa hali ilivyo hivi sasa kwenye Betting ukimpiga Kanji hata 5000 tu kwa Siku Funga ofisi mpaka kesho.
Wazee wa inplay najua wako kwenye msiba muda huu Barcelona hata GG imemshinda si uchawi huuNaunga mkono hoja..saiv itabid mana siyo kabsa!
14 odds. betting therapy,bet responsibly.View attachment 1212726
Wakenya wanafanya ya kwao https://www.betensured.com/pricing/Napatiaga betensured ukisha-sign_up ila ni free
unamaanisha niniWakenya wanafanya ya kwao https://www.betensured.com/pricing/
Mimi huwa nawapigia kwa 0768987888inagoma ile ya voda iliyoishia88
Ukisikia uchawi wa Khanji ndo kama hivi. Wewe una shida na 2.5 yeye kaweka kigingi na ngoma imelala...RIP mkeka!Kama barcelona ameshindwa kushinda basi granada nipigie hao mbuzi barcelona goli 3 tu.
Maana ninashida na over 2.5
Alichonifanyia barcekona.. LA mamayake... Yaani nimeweka timu ngumuuuuuuu..... Halafu nikamuweka kuongezea point shenzi sanaBora leo sijabet ningelia kama zuzu
Jumapili ya leo nimeamua kuwela makazi yangu humu kwenye majengo wa playamaster nipo na BIBILIA yangu hiyo option inapatikana online tu au?Kuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.
madrid anapigwaGOOD MORNING TO YOU ALL ON HERE!! mimi sina mengi;; LEO wa3 KATI YA HAWA HAPA NI BUNDI~~~>>>> man utd, dortmund, real madrid, as roma au PSG.