BABA-D
JF-Expert Member
- Jul 23, 2015
- 1,242
- 1,032
live hela ya bure hii ...nitarudi na mrejeshoView attachment 1211596
Hakuna betting market rahisi shekhe wangu. Utashangaa dakika ya 7 mtu anarukiwa kifuani anaumia na inafanyika subKuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.