live hela ya bure hii ...nitarudi na mrejeshoView attachment 1211596
Hakuna betting market rahisi shekhe wangu. Utashangaa dakika ya 7 mtu anarukiwa kifuani anaumia na inafanyika subKuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.
Uwe unanitag mkuu
Kuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.
Kukaminilisha utafiti wako mkuu, endelea nayo kwa wiki kadhaa kisha njoo na matokeo hapaKuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.
Ipo online tu ila siku hizi playmaster unaweza kuandaa mkeka wako online then unapewa code number unaenda kwa cashier pale anakufyatulia huo mkeka wakoJumapili ya leo nimeamua kuwela makazi yangu humu kwenye majengo wa playamaster nipo na BIBILIA yangu hiyo option inapatikana online tu au?
Ni kweli mkuu mi mwenyewe nimecheki game za jana Epl,laliga na Serie A over 5.5 ft zote zilitoa.Ubaya wa hizi mambo bhana unaweza kufanya analysis vizuri zote zina tick...vita ya 3 ya dunia inaanza pale unapo weka mzigo kwa kanji ndiyo balaa linakuwa hapo.Kuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.
Kuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.
Omba asipatikane majeruhi tu.....Jumapili ya leo nimeamua kuwela makazi yangu humu kwenye majengo wa playamaster nipo na BIBILIA yangu hiyo option inapatikana online tu au?
Hakuna betting market rahisi shekhe wangu. Utashangaa dakika ya 7 mtu anarukiwa kifuani anaumia na inafanyika sub
Kukaminilisha utafiti wako mkuu, endelea nayo kwa wiki kadhaa kisha njoo na matokeo hapa
Sio wewe tu mkuu hata mimi hapa nalia Barcelona limenichania mkeka wa pesa nyingi hadi kichwa kinauma. Sijui hawa mikwundwu wanakwama wapi, isije ikawa wanabet.Alichonifanyia barcekona.. LA mamayake... Yaani nimeweka timu ngumuuuuuuu..... Halafu nikamuweka kuongezea point shenzi sana
Yani wapuuzi sn hawa watu mamaeee.Alichonifanyia barcekona.. LA mamayake... Yaani nimeweka timu ngumuuuuuuu..... Halafu nikamuweka kuongezea point shenzi sana
Arsenal je?GOOD MORNING TO YOU ALL ON HERE!! mimi sina mengi;; LEO wa3 KATI YA HAWA HAPA NI BUNDI~~~>>>> man utd, dortmund, real madrid, as roma au PSG.