Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mara nying inatoa ila wapuuzi hawawek mechi zote hyo option ko zile mech watakzoweka lazima zikuchanie....nimecheza sana EPL inatoa sana ila URUSI ni makwuma
Wiki iliopita kama sikosei Baca alirarua mkeka wangu
Sub kabla hata ya HT
 
Game leo za kushinda
Celtic win
Rangers win
Liverpool win
Arsenal win
Ajax win
Dortmund win
 
Kuna utafiti nilikuwa nafanya hapa.
Kila mechi 4 kuna draw 1 (nenda livescore kahakishe matokeo ya jana)
Hivyo wazee wa direct win lazima tulitambue hilo.
Ha haaaa
Kanji atatutia uchizi aiseee

Mi nilifanya kautafiti nikaona BTT inatoa sana kwa ratio nzuri tu ya game per day
Yalionipata katika mikeka 5 ya game nbili mbili tu niliambulia patupuuuuu
 
Ha haaaa
Kanji atatutia uchizi aiseee

Mi nilifanya kautafiti nikaona BTT inatoa sana kwa ratio nzuri tu ya game per day
Yalionipata katika mikeka 5 ya game nbili mbili tu niliambulia patupuuuuu
Mzee mwenzangu siku hizi kimya zile tip zetu za inplay betpawa
Ilikua sikosi hela ya bia
Umeacha kubet?
 
Mzee mwenzangu siku hizi kimya zile tip zetu za inplay betpawa
Ilikua sikosi hela ya bia
Umeacha kubet?
Nipo mkuu
Kuna kaupepo kalipita ikabidi niwe napiga kimya kimya

Kila niki share mkeka una lost
Nikipiga kimya kimya una tick

So nakwenda kimya kimya now
 
Wazee wenzangu! Naomba kuuliza je kuna mtu anaetumia NMB master card kuweka na kutoa pesa 1xbet?
 
Ha haaaa
Kanji atatutia uchizi aiseee

Mi nilifanya kautafiti nikaona BTT inatoa sana kwa ratio nzuri tu ya game per day
Yalionipata katika mikeka 5 ya game nbili mbili tu niliambulia patupuuuuu
Hii ilikua hatari yani siku zinakuaga mbovu hatari unaweza poteza 5 bets kila siku kwa siku 3 mfululizo...
 
Ludogorets ni mjinga sana
Duh!! mkongwe nimeshangaa sana yani na wewe unacheza option ya 1*2 kwenye karne ya sasa hivi ya mpira wa formula ambapo chochote chaweza kutokea sii timu yenye jina kubwa wala timu inayodhaniwa ni dhaifu!!!!!😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…