Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
86 tu badobado ....Nduguzani Tangu nianze kubeti sijawahi shinda hata siku moja,naombeni msaada niweze nami kufaidi hela za kanji.
Mpaka sasa nishapigwa elfu86.
Ni laki kasoro hiyo.
Please msaada
Ngapi huko mkuuna manyooooko anatembea na 67k yangu..mamamaeeeeeeeeeeeeeee
Natest utafiti majibu ni saa 12 jion kama utafiti uko sawaKuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.
Sawa mkuu, salamu zao hapo udomKila mtu na upepo wake jaman maana hali ya hewa haitabirikiView attachment 1213637
Wewe bado sana...endelea kuchungulia humu utajifunza kitu..Nduguzani Tangu nianze kubeti sijawahi shinda hata siku moja,naombeni msaada niweze nami kufaidi hela za kanji.
Mpaka sasa nishapigwa elfu86.
Ni laki kasoro hiyo.
Please msaada
Wewe bado sana...endelea kuchungulia humu utajifunza kitu..
Nashangaa hela anayotaja kwamba kaliwa dah..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]HAJUI KAMA WATU WANA LOSS YA MAMILION YA KUSHATOOO
Na Madrid plus Barcelona hivi ni vimeo balaa,Yani kama wewe bado mpaka saa hii unampaga Man utd win, wala usimlaumu Kanji. Ni ujinga wako.
Mkuu bila shaka zimetoa hizo.Natest utafiti majibu ni saa 12 jion kama utafiti uko sawaView attachment 1213624
HongeraMPKA DAKIKA HII NIMEPOTEZA ELFU 50 KWEYE DUDE LIITWALO WHEEL OF FORTUNE
MPKA DAKIKA HII NIMEPOTEZA ELFU 50 KWEYE DUDE LIITWALO WHEEL OF FORTUNE
Naona jamaa kapewa hongera sijui ya kuliwa ama?Hongera
Bado mkuuVip mzee mwenzangu! Hii kitu uliijaribu??
unafikiri watu wachokozi wataishaga duniani?Naona jamaa kapewa hongera sijui ya kuliwa ama?
[emoji24][emoji24] dah nahama timu aseeHivi Arsenal wana mkosi gani?
MPKA DAKIKA HII NIMEPOTEZA ELFU 50 KWEYE DUDE LIITWALO WHEEL OF FORTUNE