Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bet what you can afford to lose
Screenshot_20190922-200944_Gallery.jpeg
 
Mkuu hiyo opt ya San usije cheza lig za urus utalia
Kuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.
 
1xbet saiv wamebadilisha utoaji wa hela. Ukitumia hizi kadi, kiwango cha chini ni 25400 badala ya ile 125K
bora hwe hivyo, ile 125 huwa inaathiri kisaikolojia.
Unakuta labda una 50k ukitata utafute odds 2.5 za kujilipua ili utoe, na mrusi ndio analala na wewe mbele moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom