0768987888 naambiwa nimekoseaMimi huwa nawapigia kwa 0768987888
Ile inayoishia na 262222 walishabadilisha, haipatikani muda wote.
Ukiwa na shida ya moyo ni bora kutafuta team nyingine[emoji24][emoji24] dah nahama timu asee
Dah noma sana,nilipoteza pesa kwenye hayo madude na virtual.MPKA DAKIKA HII NIMEPOTEZA ELFU 50 KWEYE DUDE LIITWALO WHEEL OF FORTUNE
Mh! Mimi hata juzi tu nimeongea nao kupitia hiyo namba.0768987888 naambiwa nimekosea
Bet what you can afford to lose View attachment 1213732
sahivi sitamani hata kulisogeleaDah noma sana,nilipoteza pesa kwenye hayo madude na virtual.
Kuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.
Mkuu hilo dude linapulutisha hela balaa badala mshale ugote kwenye namba za hela mshale unagota kwenye 0 😀MPKA DAKIKA HII NIMEPOTEZA ELFU 50 KWEYE DUDE LIITWALO WHEEL OF FORTUNE
bora hwe hivyo, ile 125 huwa inaathiri kisaikolojia.1xbet saiv wamebadilisha utoaji wa hela. Ukitumia hizi kadi, kiwango cha chini ni 25400 badala ya ile 125K
Nipe report BOFREE ,mkeka wako wa sub. player umekwendaje?
leo nimepigwa sitasahau mpka nikabakiza jero nikajaribu kuweka odds kubwanibakize 2000 napo nikapigwa yoteMkuu hilo dude linapulutisha hela balaa badala mshale ugote kwenye namba za hela mshale unagota kwenye 0 😀