komunisti
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,417
- 2,102
Hivi hii option ya sub inapatikana playmaster sehemu gani mm mbona siioni?Tena wawili.....
Hivi hii option ya sub inapatikana playmaster sehemu gani mm mbona siioni?Tena wawili.....
Mm sijaona ubaya wa kutumia Parimatch , bet pawa na Play master , labda huna mbinu za kumla muhind.hata wale wa makaratasi wanamla tu cha msingi uwe na mbinu!!!wakuu,hakuna kampuni mpya iliyofunguliwa ambayo haikati 20%? na wenye Application nyepesi kidogo.
Nimeshatumia,
Parimatch- App ovyo,pia wanahitaji ID,kutoa pesa
Sportpesa-App nzito,kodi balaa
Meridian-App ovyo,hawasomeki malipo
Betpawa-Odds ndogo, options chache,kodi balaa
M-bet-Hawa ni chuma ulete,Options chache sana,halafu hawana single bet,ingawa odds kubwa na hazibadiliki.
Gal Sports-Hawana App,kutoa pesa mpaka uende shop
Premier bet-Hawa madudu yao ni kama ukubwa wa bahari.
Mkekabet/Sokabeti-Wapo ovyo kabisa kiuendeshaji.Hizo ni kampuni pacha.
Princess bet-App yao mbovu,mpangilio haueleweki
Mchezabet-Unfortunately[emoji12],Mcheza has stopped!!
Wakabet-Hawa ni sawa na M-bet ila wanaruhusu single bets.
Tbet- Usijaribu kabisa
Bingwa bet-Hawa hawaeleweki kabisa.
Playmaster bet-Wana matatizo madogo madogo,hasa app.
Supabets-Wana matatizo madogo madogo hasa app na kodi kubwa.
Bikosports-Aisee,sijui niseme nini juu ya hawa watu.
Kama ipo nyingine yenye kutumia malipo ya M-pesa au Tigo pesa,naomba mnijulishe wadau.
"Other markets" mwishoniHivi hii option ya sub inapatikana playmaster sehemu gani mm mbona siioni?
Nyie watu wa MMU(Mahusiano, Mapenzi na Urafiki) bhana!Duuh
HahaaNyie watu wa MMU(Mahusiano, Mapenzi na Urafiki) bhana!
Tunatafuta hela by any means, we unaduwaa nini humu
Mkuu hakunaga kitu ipo 100% perfect.... Hakuna kila moja inachangamoto zakewakuu,hakuna kampuni mpya iliyofunguliwa ambayo haikati 20%? na wenye Application nyepesi kidogo.
Nimeshatumia,
Parimatch- App ovyo,pia wanahitaji ID,kutoa pesa
Sportpesa-App nzito,kodi balaa
Meridian-App ovyo,hawasomeki malipo
Betpawa-Odds ndogo, options chache,kodi balaa
M-bet-Hawa ni chuma ulete,Options chache sana,halafu hawana single bet,ingawa odds kubwa na hazibadiliki.
Gal Sports-Hawana App,kutoa pesa mpaka uende shop
Premier bet-Hawa madudu yao ni kama ukubwa wa bahari.
Mkekabet/Sokabeti-Wapo ovyo kabisa kiuendeshaji.Hizo ni kampuni pacha.
Princess bet-App yao mbovu,mpangilio haueleweki
Mchezabet-Unfortunately[emoji12],Mcheza has stopped!!
Wakabet-Hawa ni sawa na M-bet ila wanaruhusu single bets.
Tbet- Usijaribu kabisa
Bingwa bet-Hawa hawaeleweki kabisa.
Playmaster bet-Wana matatizo madogo madogo,hasa app.
Supabets-Wana matatizo madogo madogo hasa app na kodi kubwa.
Bikosports-Aisee,sijui niseme nini juu ya hawa watu.
Kama ipo nyingine yenye kutumia malipo ya M-pesa au Tigo pesa,naomba mnijulishe wadau.
Yaah mkuuuMr. vp uliona maelekezo yangu pm?
Ulishawah jaribu tena kutoa hela 1xbet kuacha awamu hiyo iliyogoma na ikakubali?Kuna mtu aliyetoa pesa 1XBET kupitia card ya bank ya Exim kuanzia tar 19 ??
maana huku kila nikijaribu inagoma.
Yaap tokea mwezi wa 3 hua inakubali kuweka na kutoaUlishawah jaribu tena kutoa hela 1xbet kuacha awamu hiyo iliyogoma na ikakubali?
Pouwa!Yaap tokea mwezi wa 3 hua inakubali kuweka na kutoa
Wolfsburg 1X, itakuwa vizuri zaidi.Maoni yenu wakuuView attachment 1214072
thanks"Other markets" mwishoni
CongratesJana ilikuwa siku nzuri sana KwanguView attachment 1214136
Huu huwezi patia.. Full time winner siyo option nzuri hata kidogo,Maoni yenu wakuuView attachment 1214072
Unaipata kampuny gani hii option nimeangalia play master sijaiona ?Statistics za sub toka la liga weekend hii,kati ya game 9 zilizotoa HT under 0.5 ni 8 na zilizotoa FT over 5.5 ni game 8 pia,odd ni 1.2 per match.