Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa nimefumba macho
Screenshot_2019-09-23-13-55-27.jpeg
 
Wataalamu nataka kurudi 1bet natakabkutumia account ileile ya safaricom ila deposit nataka kutumia bank kwa sasa tangu njia ya sim ilivyogoma.

Maswali ya kunijibu

1)Bank hyo ya ABC kwa sasa inatoa na kuingiza 1bet? Au bado wanazingua ?

2)Je unaweza kufungua account ya bank hyo ya ABC kwa currency IPI ikiwa Tayar nna ya Kenya currency?

3) Naweza kufungua acnt ya Tsh ya bank nkafanya deposit ikaingia kwa Ksh kweny account ya 1bet?
 
Jamani naombeni mawasiliano ya primiebet namba ambazo wameweka pale mbona huwa hazipatikani
Premier Bet hizi hapa 0713 018901 anaitwa Benja, 0765 000110 anaitwa David ,0687 487061 anaitwa Khalid Mwinyi pia 0687 312051 kama upo Mwanza kuna huyu 0626 536561anaitwa Aziz.
 
Huu huwezi patia.. Full time winner siyo option nzuri hata kidogo,

Kwa mechi hizihizi changanya option haswa double chance na over1.5.
Pamoja..,japo nimesha ulipia tayari nasubiri Hadi iyo tarehe24 mambo yatakuwaje
 
Wakuu anaejua kucheza hii wheel of fortune anielekeze maana nimejaribu tu nimeweka jero nikachagua namba 16,28 na 14 mara likazunguka ikatokea ikatokea 16 nikapewa 6000 sasa sijajua kulicheza
Yaan kwa mfano kwa 500 unatakiwa uchague mwisho namba ngapi na ukila wanazidishaje siekewi wakuu naona nimejaribu wamenikaribisha vizuri
Una hamu kali sana ya kuliwa....
 
Watu n wagumu kuekewa mno ukiona kitu ukielewi achananacho Kwan kitakugharimu Kama option hujaelewa na maelekezo yapo humohumo just hyo n bet lost,

Wale mnaotegemea withdraw kutoka BETTING COMPANIES kwenda benk andiken maumivu Kwan Tanzania hairuhusu bank kupokea pesa kutoka BETTING COMPANIES kuweka hvyohvyo Kama umeona hzo faini walizotozwa mabenk juu ya makosa ya utakatishaji pesa Basi jua kwenye betting hawataruhusu Kama unahela toa Sasa angalia uwezekano mwingine.

Msiniulize maswali Mana Kuna watu humu n wagumu kuekewa.
 
sawaa nimekuelewa
 
Mzee baba unasemea hii ama? Naona hawa jamaaa wa Banc ABC na wengineo hawapo
Screenshot_20190923-180352.jpeg
 
Back
Top Bottom